Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,595
Angalia kuanzia 6:14 kulikua na ulazima gani wa kumkamata yule jamaa namna ile na kumsukuma vile kwenye gari wakati njia nzima walikua wakiongea vizuri kabisa. Hii huwa inatokana na nini? ni kwamba Polisi akiku handle vizuri halafu akaonekana na wenzake huwa anakatwa mshahara?