Hivi Polisi wetu wana matatizo gani?

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,038
24,595
Angalia kuanzia 6:14 kulikua na ulazima gani wa kumkamata yule jamaa namna ile na kumsukuma vile kwenye gari wakati njia nzima walikua wakiongea vizuri kabisa. Hii huwa inatokana na nini? ni kwamba Polisi akiku handle vizuri halafu akaonekana na wenzake huwa anakatwa mshahara?
 
Nahisi wanatumia kile kitu kilochokatazwa kutumiwa
Juzi tu hapa maeneo ya upanga police walikuwa wanamkimbiza bodaboda, mara ghafla wakafyatua risasi badala ya kumpata bodaboda ikampata mtoto mdogo akitoka shule
jamani
 
Kwny habar walisema wanachunguza chanzo cha tukio. Vp bodaboda aliwafnya nin mkuu mpk wakafyatua?
 
Kwny habar walisema wanachunguza chanzo cha tukio. Vp bodaboda aliwafnya nin mkuu mpk wakafyatua?
Nafikiri atakuwa alivunja sheria za barabarani alafu police wakamsimamisha akagoma kusimama, kwani wangechukua plate namba wasingempata baadae
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Nafikiri atakuwa alivunja sheria za barabarani alafu police wakamsimamisha akagoma kusimama, kwani wangechukua plate namba wasingempata baadae
Kwaio sikuizi ukikimbia polisi barabaran lazma risas zilie?
 
Hao wanaitwa Jeshi la polisi sio jeshi La huduma, tatizo lililopo ni dhana nzima ya kukamatwa na polisi hapo asingepigwa Tanganyika jeki hapo wabongo mngeanza kuongea kuwa mfungwa mtoa huduma anabembelezwa!
 
Gushi gushi, jizi jizi, tapeli yapeli, libembelezwe walipetpet wakati wanaliswendema ndani?.
Mhalifu kuzabwa kofi ama kukusukuma namnaile ni kumuonya kuwa "wewe mwizi hauna haki ya uraiani tena, bali upo chini ya mikono salama"
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom