Hivi Polisi wetu wana matatizo gani?

Yaani Ukitaka kujua hawa watu ni wanafiki wawe mbele ya kiongozi mkubwa ndo utajua wanatumia akili za kiki
Yaani jinsi alivyo behave mbele ya Camera mpaka nikadhani labda siyo Polisi wa bongo, kwa jinsi alivyokuwa ana interact na mtuhumiwa, akimuelewesha haki zake na mengineyo mengi. Lakini alipohisi Camera wameziacha mbali akarudi katika hali ya Polisi wa bongo nimjuaye mimi.
Sijui huko kituoni hali itakuwaje.
 
huyo aliyekuwa akitembea nae mwanzo ni RPC wa ilala.aliyekabidhiwa akamsweke kwenye gari ni constable wa ffu
 
Hao polisi wana sifa sana,hapo mheshimiwa akiona picha baada ya muda utasikia tumpandisha cheo
 
wengi shule ndogo, wanafanya mambo kibabe kuficha uwezo wao mdg kiakili.

ila wapo wengine wako poa sana, nakumbuka kuna mmoja alikuwa mchukua mpangaji mwenzangu akampa mda wa kuoga, kunywa chai na kumwambia awataarifu ndugu ili apate dhamana mapema. mpangaji anamsifia yule bwana mpaka leo haamini kama ni polisi wa kawaida.
 
Uaskari mara nyingi huwa wanachukuliwa wale vijana ambao hawaku-perform vizuri katika masomo yao,kwa hiyo huwa mimi maamuzi yao siyashangai sana.Nadhani ni vema sasa ifike mahali hata kwenye uaskari tuchukue watu waliofaulu vizuri.Hata uaskari unahitaji state of the art decisions jamani.We should not just take anybody.
Angalia kuanzia 6:14 kulikua na ulazima gani wa kumkamata yule jamaa namna ile na kumsukuma vile kwenye gari wakati njia nzima walikua wakiongea vizuri kabisa. Hii huwa inatokana na nini? ni kwamba Polisi akiku handle vizuri halafu akaonekana na wenzake huwa anakatwa mshahara?
 
huyo aliyekuwa akitembea nae mwanzo ni RPC wa ilala.aliyekabidhiwa akamsweke kwenye gari ni constable wa ffu
Yeah, lakini kwa jinsi alivokabidhiwa hakukuwa na violence yoyote ile, maana hata dakika za mwisho akiwa naye zinaonyesha kuwa still kulikua hali ya amani na kutotiliana mashaka, lakini ghafla tu, mtu anapigwa tanganyika Jeki halafu anasaidiwa kupanda ndani ya gari na kumalizia kwa kusukumwa.
 
Back
Top Bottom