Hivi Pharrell Williams hazeeki...!?

Hivi Pharrell Williams hazeeki...!?

Jamaa ni ageless alinyimwa kabisa uzee.

Ila kuna muda hata yeye mwenyewe huwa haipendi hiyo halii na hasa pale anapokutana na watu wasiomjua wana mtreat kama mtoto hivi.

na kweli kwa muonekano tu anaonekana ni kama U-20.

Na hata kwenye parody ya HAPPY wamemdiss eti "i am 41but i damn look like i'm 8"
Hahahahahahaha naipataje hiyo parody mkuu?
 
Back
Top Bottom