Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Mkurugenzi mpya wa manispaaNi nani huyu?
Mkurugenzi mpya wa manispaaNi nani huyu?
Kwa sasa anamiaka 43 mkuu.Kwani anamiaka mingapi jamani?
Yuppo ktk ubor wakenampendaga sana huyuu baba!!!
46 mkuuKwani anamiaka mingapi jamani?
Utakua tu mkuu ilimradi ujiepushe na UKUTAMaisha yasiyo na stress,stress zinazeesha jamani!
Natamani niwe forever young kama yeye.
angalieni mashavu yameshuka!!!Umenotice kwamba jamaa ana age slowly sana ni almost like hes an immortal
huyo bado kijana,46 years?,wakati jk anaananza awamu ya kwanza alikuwa above 50 na alionekana kijana na aliitwa rais kijanaKazaliwa mwaka 1970 .....
Kiaina mkuuangalieni mashavu yameshuka!!!
Hebu mcheck Dr.Dre ambaye anamiaka 51 saivi how he looks like now:
Ana dongo zuri tu.Wengine ni wajuu wa Mtume
Nafikiri now atakuwa na 43Kwani anamiaka mingapi jamani?
Inapatikana Youtube mkuu, tena na subtitle kabisaa.Hahahahahahaha naipataje hiyo parody mkuu?
Matunguri mkuu. Hasa kama ni ya mwendo kasi (siyo kama wale waganga wa kijijini)