Hivi Ostadhi Shaaban wa Kiingereza bado yupo?

The Giant

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
504
96
Wakuu salama?

Kwa wale ambao bado mnasoma, au tuna ndugu zetu/watoto wetu bado wanasoma Kidato cha 5/6. Hivi yule Mwalimu wa Kiingereza Ostadhi Shaaban Omar bado yupo? Na bado anafundishia kwenye center yake ya pale Chang'ombe Maduka 2?

Kma hayupo, kuna Mwalimu yeyote wa Tuition ya Kiingereza mwenye uwezo wa kufundisha vizuri kama yeye au zaidi ya pale?

Kama yupo naomba mnijulishe, Anko wangu yupo Kidato cha 5(KLF) shule moja maarufu hapa Dar. Karudi anasema ndio kwanza wapo katika utangulizi na Mwalimu wake kuingia ni nadra sana.

Naombeni mnijulishe nimsaidie binti yangu jahazi lisizame.

Shukrani!
 
Ustadh bado yupo mwambie dogo aende tu
 
Back
Top Bottom