Wana JF, nimefuatilia hawa original komedy. Ninavyofahama mimi wameajiriwa na TBC. Lakini wiki iliyopita walipanda jukwaani kuinadi sisiem. Najiuliza, kundi hili ni la nani, kati ya sisiem na TBC? Your comments please!
mwenye mbwa na mbwa huwa na kawaida ya kufanana au kuwa na vitabia sawa.
na wakati mwingine ukiweka njaa mbele unaweza ukasahau maslahi ya wengi na hata familia yako.
Hawa jamaa hawana jipya ,washakwisha kisanii aka hawana mvuto ndio maana wapo kwenye majukwaa ya siasa kama wacheza ngoma wa viduku.Hawana muda mrefu utawaona viijuweni wakigongea vichungi vya sigara,CCM sio marafiki wa kudumu tena kwenye maslahi! Thubutu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.