Hivi Original comedy ni ya CCM au ya TBC?

kibunda

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
403
52
Wana JF, nimefuatilia hawa original komedy. Ninavyofahama mimi wameajiriwa na TBC. Lakini wiki iliyopita walipanda jukwaani kuinadi sisiem. Najiuliza, kundi hili ni la nani, kati ya sisiem na TBC? Your comments please!
 
Ni private entity...wameingia mkataba na tbc kuonesha vichekesho kwao...ukiisha wanaweza ingia mkataba na chadema tv.
 
Mm toka wahamie TBC cjawahi na ctaki hata kuwaangalia tena, maana washanunuliwa na MAGAMBA!
 
mwenye mbwa na mbwa huwa na kawaida ya kufanana au kuwa na vitabia sawa.
na wakati mwingine ukiweka njaa mbele unaweza ukasahau maslahi ya wengi na hata familia yako.
 
wako na manji ndo boss wao

pia wameshapewa maji ya kijani
 
Tbc + ccm +original comedy = serikali ya magamba(manji)
 
Hawa jamaa hawana jipya ,washakwisha kisanii aka hawana mvuto ndio maana wapo kwenye majukwaa ya siasa kama wacheza ngoma wa viduku.Hawana muda mrefu utawaona viijuweni wakigongea vichungi vya sigara,CCM sio marafiki wa kudumu tena kwenye maslahi! Thubutu!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom