Hivi nyinyi wanawake wa kiafrika

Hivi nyinyi wanawake wa kiafrika

mimi nawashangaa wao wanadai ni urembo! sasa unamvutia nani? mbona kama ni wanaume wengi wanazipinga?

Kwanza ni urembo gani huo wa kuyategemea hayo manywele urembo ni ule wa asili alio zaliwa nao mtu sio wa kuongeza ongeza haya mauchafu yao...
 
Alafu hayo manywele ya bandia gharama yake bora hata mtu ununue vitu ambavyo vitafanya nywele zako za asili ziwe na mvuto mfano mafuta mazuri,shampoo na conditioner......

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ndugu inategemea na aina ya nywele ujue hlo kwanza wala hautasumbuka na sisi kama mim na kipilipil changu nywele hazikui hata u2mie vikolobwezo ya aina gan sasa kwanin nicsuke rasta mimi mitindo ming tu, weavng zpo za kisasa nzur tu kwanin 2sipendeze jaman
 
Kwa hiyo mkuu hapa lengo huwa ni kupendeza? kama lengo ni kupendeza machoni kwa nani? kama ni mtu fulani kwa nini yeye usimpe nafasi ya kuchagua? maana wengine wake zetu tukiwambia fugeni nywele au sukeni nywele zako au nyoa duh hawataki kusikia atanuna mpaka utalegeza msimamo!!!!!!!
Sasa hilo ni tatizo lenu.....hapa ni.kama unawasemea wanaume wote wakati kila mtu ana uchaguzi wake......kaa vzuri na mkeo muelewane katika hilo....
 
Ndugu inategemea na aina ya nywele ujue hlo kwanza wala hautasumbuka na sisi kama mim na kipilipil changu nywele hazikui hata u2mie vikolobwezo ya aina gan sasa kwanin nicsuke rasta mimi mitindo ming tu, weavng zpo za kisasa nzur tu kwanin 2sipendeze jaman

na kipili pili zilivyo mbaya sasa,,, we suka tu!
 
Sasa hilo ni tatizo lenu.....hapa ni.kama unawasemea wanaume wote wakati kila mtu ana uchaguzi wake......kaa vzuri na mkeo muelewane katika hilo....
Neno!
Wengine wanashauri wake zao wasuke twende kilioni huku wao kutwa wanakimbizana na wenye ma weaving kichwani!
Wanaogopa gharama tu!
 
kama huwezi kuacha basi punguza kutetea ujinga
utafiti wako haujakamilika kabisa..

most of the african population lives in village areas.. tuseme ni zaidi ya 75% ya wanawake wa kiafrika wako vijijini..

sasa unataka kuniambia jamii hiyo ya vijijini nayo imeharibika kwa kiwango hicho unachokisema wewe? jibu ni siyo, unless uwe mbishi!

most of women unaowazungumzia wewe ni wale ambao wengi wao ni modern kielimu na wachche ambao wanazolewa na sayansi na teknolojia....

halafu hao unaowaita waarabu na wahindi, hebu angalia asili ya nywele zao.. ni ndefu, naturally beautiful.

nywele za kiafrika zimegawanyika kulingana na regions... kuna vipili pili nk..

halafu, kwani kujiremba kuna ubaya gani jamani???? mbona vitabu vya dini vinasema wanawake wajirembe ili wapendeze?

hivi unadhani kujiremba huko ni kupi?? si ni pamoja na nywele???....

halafu, hao pia wanajiremba kwa ajili ya wanaume, waacheni watufurahishe nafsi zetu... vitabu vitakatifu vimeruhusu!
 
kabisa na hauji kuniona na nywele zangu original coz ni kituko

hahahaaa!! nywele kama mpunga uliokaukia kwenye majaruba.. khaa!!

aisee nakushauri usuke kama bob marley.! usitutishe ati.
 
Neno!Wengine wanashauri wake zao wasuke twende kilioni huku wao kutwa wanakimbizana na wenye ma weaving kichwani!Wanaogopa gharama tu!
Ndiyo hapo sasa........kinawakimbiza gharama...lakini kama mtu anajihudumia kuna shida gani..? Binafsi labda wanipe tatizo la kisayansi linaloletwa na hayo mawingi vinginegyo sioni shida hayo mawingi ukizingatia usafi unazingatiwa ipasavyo...
 
hahahaaa!! nywele kama mpunga uliokaukia kwenye majaruba.. khaa!!

aisee nakushauri usuke kama bob marley.! usitutishe ati.

Mkuu kwa kuwa nimeshajigundua nilvyo basi cpati shda ni mwendo wa kusuka tu cha msingi ni kuziweka ktk hali ya usafi
 
baadhi ya wadada wa Darisalama, jamani...jamani, mnanuka vichwa! khaaaaaa!
 
hahaha chezea brazialian laki 9, siku dem ako anakupiga huo mzinga ndy utaelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom