Hivi nyinyi wanawake wa kiafrika

Hivi nyinyi wanawake wa kiafrika

julius mahinya

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
1,152
Reaction score
384
Kwa nini wengi wenu hamupendi kuonekana katika nywele zenu za asili? Nyinyi ni mama zetu, dada zetu, shangazi zetu,wake zetu,..............
lakini hamtusikilizi tukiwashauri, ehm waone wahindi jamani wanapenda asili ya nywele zao, waoneni warabu wanapenda nywele zao, tazameni wazungu wa asili kabisa wanapenda nywele zao, nyinyi tu ndugu zetu hampendi kuonekana katika asili ya nywele zenu!!!! sasa tuseme ni ugonjwa au nini?
Badilikeni jamani! Siyo siri nyinyi ndio munafanya bara letu kudharaulika kwa kuwa mnajidharau wenyewe! unakuta kimdada kimekaza ngozi ya kichwa kinaumia,wakati mwingine hata maji hakiruhusiwi kugusisha kichwa kisa mirasta au nimeshonea wigi!!!!!
 
utafiti wako haujakamilika kabisa..

most of the african population lives in village areas.. tuseme ni zaidi ya 75% ya wanawake wa kiafrika wako vijijini..

sasa unataka kuniambia jamii hiyo ya vijijini nayo imeharibika kwa kiwango hicho unachokisema wewe? jibu ni siyo, unless uwe mbishi!

most of women unaowazungumzia wewe ni wale ambao wengi wao ni modern kielimu na wachche ambao wanazolewa na sayansi na teknolojia....

halafu hao unaowaita waarabu na wahindi, hebu angalia asili ya nywele zao.. ni ndefu, naturally beautiful.

nywele za kiafrika zimegawanyika kulingana na regions... kuna vipili pili nk..

halafu, kwani kujiremba kuna ubaya gani jamani???? mbona vitabu vya dini vinasema wanawake wajirembe ili wapendeze?

hivi unadhani kujiremba huko ni kupi?? si ni pamoja na nywele???....

halafu, hao pia wanajiremba kwa ajili ya wanaume, waacheni watufurahishe nafsi zetu... vitabu vitakatifu vimeruhusu!
 
Halafu kuna wengine wasiojua namna ya kuzitunza huwa zinatema harufu mbaya...
 
Kwa nini wengi wenu hamupendi kuonekana katika nyewele zenu za asili? Nyinyi ni mama zetu, dada zetu, shangazi zetu,wake zetu,..............

...hivi wewe HAPO HULHPO HUNA jinsi ya khuwatwanga.?
 
Aisee unajua hizi nywele zinaongeza urembo kidogo....
 
maneno yako ni swadakta wng mcmamo we2 ni huohuo upo sawa ile mbaya
 
utafiti wako haujakamilika kabisa..

most of the african population lives in village areas.. tuseme ni zaidi ya 75% ya wanawake wa kiafrika wako vijijini..

sasa unataka kuniambia jamii hiyo ya vijijini nayo imeharibika kwa kiwango hicho unachokisema wewe? jibu ni siyo, unless uwe mbishi!

most of women unaowazungumzia wewe ni wale ambao wengi wao ni modern kielimu na wachche ambao wanazolewa na sayansi na teknolojia....

halafu hao unaowaita waarabu na wahindi, hebu angalia asili ya nywele zao.. ni ndefu, naturally beautiful.

nywele za kiafrika zimegawanyika kulingana na regions... kuna vipili pili nk..

halafu, kwani kujiremba kuna ubaya gani jamani???? mbona vitabu vya dini vinasema wanawake wajirembe ili wapendeze?

hivi unadhani kujiremba huko ni kupi?? si ni pamoja na nywele???....

halafu, hao pia wanajiremba kwa ajili ya wanaume, waacheni watufurahishe nafsi zetu... vitabu vitakatifu vimeruhusu!

yeah kuna point nimeiona hasa kwenye wingi nakiri takwimu haziko sahihi lakini nililenga zaidi hawa ambao ni kioo cha jamii! unajua huyu aliyeenda shule ndio wengine wanajifunza kwake tulimtegemea kujithamini zaidi! urembo sio kuweka wigi na kusukia rasta urembo ni kujipamba!!!!
 
Halafu kuna wengine wasiojua namna ya kuzitunza huwa zinatema harufu mbaya...
Na hili joto la dar mtu hatakiwi kukaa na nywele muda mrefu....sasa mtu utakuta anakaa nazo miezi mpaka zinatoa uvundo....
 
Ingawa mimi sio mwanamke lakini sioni kwanini wewe unakereka na kile ambacho mwingine anakipenda. Hizo zote ni accessories tu.., ukiendelea sana utasema kwanini watu hawapendi kuwa kama walivyozaliwa hence wanavaa nguo
th

by the way hivi hao hapo juu sio waafrika au hizo ni natural hair au wameiga kutoka kwa nani
 
Aisee unajua hizi nywele zinaongeza urembo kidogo....

unajua ukifuga nywele zako pia unapendeza au ukinyoa kama kipindi kile ulipokua mdogo unapendeza kuliko kushonea hayo mawigi!
 
Unajua nin kuna watu wakiwa na nywele zao asili au wakiwa wamenyoa fupi wanapendeza....ila wengine mpaka tuweke na hayo makitu.....
 
Kwa hiyo mkuu hapa lengo huwa ni kupendeza? kama lengo ni kupendeza machoni kwa nani? kama ni mtu fulani kwa nini yeye usimpe nafasi ya kuchagua? maana wengine wake zetu tukiwambia fugeni nywele au sukeni nywele zako au nyoa duh hawataki kusikia atanuna mpaka utalegeza msimamo!!!!!!!
 
Na hili joto la dar mtu hatakiwi kukaa na nywele muda mrefu....sasa mtu utakuta anakaa nazo miezi mpaka zinatoa uvundo....

Wengi hawawezi kukaa nazo muda mfupi kwa kuwa wanategemea hela za mizinga...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom