Hivi nyie watu wa DMV mkoje?!

Hivi nyie watu wa DMV mkoje?!

Hii inanikumbusha enzi zile kiongozi wa kitaifa akitembelea shuleni...

Mtafanyishwa mikazi, mtapaka sijui kingo za maua chokaa na lazima msimame sana juani kumsubiri huyo kiongozi...
 
Mie nilidhani ni mtoto wa JK anaolewa.

Kumbe wengi wao ni wanafiki tuu.

Waulize lini mara ya mwisho kumwimbia baba yao mzazi huo wimbo.

Hahahahahah hivi ghafla umuimbie Baba yako si atastuka! hahahahah mbavu zangu mieee
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hiyo mijitu imenikera sana.

Mkuu ni kweli kila mtu ana haki ya kukipenda na kua na umamuzi katika suala kwa namna anavyo ona inafaa.Lakini ukimkuta mtu mzima ambaye kimazingira ni mtu mwenye exposure anafanya vitu ambavyo ungetarajia afanye mwananchi ambaye yuko closed kabisa na Dunia na changamoto za nchi .Hawa watu waliokuwa wakishangilia hata kwa sura zao tu wengi wanaonekana kupenda utumwa na hata maneno wanayo tamka yaaashiria Utumwa....NI WATUMWA na wengi wanasumbuliwa na tumbo...hakuna lingine NI UTUMWA NA KUONGOZWA KWA KUTUMIA TUMBO KATIKA KUTAFAKARI NA KUFIKIA HITIMISHO ndiko kunakowafanya wa cheke na kucheza namna hii wakati nchi iko katika suala zito la kutafakari mustakabali wake husasn suala la Katiba.
 
Hivi exposure ni common and automatic???!!!
 
Hao Wote Hakuna Hata mmoja anayekula $100 000 kama Mshahara kwa mwaka!

Hivi DMV ni wapi? na nini kirefu chake? je DMV sio kwa obama?? au kwa obama ni wapi?

Mkuu hilo jina ni acronym ya miji mi3, ila siijui kwa sasa, waTz wamejaa huko duh ngoja watakujibu tu

DC,Maryland,Virginia.

DMV ni maeneo kati ya virginia na DC

Kwa Marekani wengi DMV maana yake ni Department of Motor Vehicles.

Huko ndipo Wamarekani wanapopata leseni zao za kuendesha magari.

Kwa maana nyingine DMV inaweza isiwe an official acronym ya Washington DC na sehemu za majimbo ya Mayland, Virginia kama ilivyo AIDS kwa Acquired Immune Deficiency Syndrome"

Wapo wachache hasa kwenye music industry wanaita Washington Metorpolitan Area, ambayo inajumuisha Washington DC na sehemu za majimbo ya Mayland, Virginia kwa nickname ya DMV.

Hii ni Survey kwenye gazeti la Washington Post on "What do you think of the nickname 'The DMV?"

341105-EC2TEGY06BGZBHB65PNDF4YH783YRY&crt=4&rspid=

After initial obscurity, 'The DMV' nickname for Washington area picks up speed

cc. Nyani Ngabu aka Rais wa Wabeba box na Matola kwa taarifa.
 
Superb EMT, the graph/ bar demo!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa Marekani wengi DMV maana yake ni Department of Motor Vehicles.

Huko ndipo Wamarekani wanapopata leseni zao za kuendesha magari.

Wapo wachache hasa kwenye music industry wanaita Washington Metorpolitan Area, ambayo inajumuisha Washington DC na sehemu za majimbo ya Mayland, Virginia kwa nickname ya DMV.

Hii ni Survey kwenye gazeti la Washington Post on "What do you think of the nickname 'The DMV?"

341105-EC2TEGY06BGZBHB65PNDF4YH783YRY&crt=4&rspid=

After initial obscurity, 'The DMV' nickname for Washington area picks up speed

cc. Nyani Ngabu aka Rais wa Wabeba box na Matola kwa taarifa.

Context is everything. In this context, DMV stands for DC (District of Columbia), Maryland, and Virginia.

The other DMV you mentioned about is also known as DDS (Department of Driver Services) in other parts of the country.

DDS
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom