Hivi exposure ni common and automatic???!!!
Kwani Nyani Ngabu sio member wa DMV?
Kuna kitu Le Mutuz aliandikaga hapa juu ya ugumu wa maisha kwa walio wengi uko majuu (especially wale walioenda bila nyaraka muhimu) watu wakambishia.
Naanza kukubali kwamba majuu maisha si mchezo!
Kwani we ulidhani mi naishi DMV?
Mi naishi Dar...Mbezi Beach to be specific na nina ocean front house (mansion).
Wewe NN hawa wamekuudhi kitu gani??!! Wewe si huwa unatetea ujinga wa kuacha watu wafanye wanavyojisikia?? Sasa wewe watu wanafurahia na maisha yao wewe inakuuma nini?!!
Get the taste of your own medicine "Mind your own business".
By the way hii haina maana kwamba naunga mkono, ila nashindwa kuelewa kwa nini wewe ikukere.
Haya NN nimekusoma mkuu.Kama wao walivyo na haki na uhuru wa kufanya wapendacho nami nina haki na uhuru wa kukereka nacho.
La muhimu sijasema wasifanye ujinga wao au kupendekeza wapigwe marufuku kufanya huo upuuzi wao.
Mimi ni muumini pia wa haki ya watu kuwa wajinga.
Hebu oneni huu upuuzi wa hii mijitu ya DMV.
I mean, what the hell is this? See it for yourself folks.
Eti baba baba.....man STFU! Mnakera sana nyie mijitu.
Hebu oneni huu upuuzi wa hii mijitu ya DMV.
I mean, what the hell is this? See it for yourself folks.
Eti baba baba.....man STFU! Mnakera sana nyie mijitu.
Pole sana, tunavuna tulichokipanda kwa muda mrefu..... Aliwahi kusema Mch. Msigwa Pale bungeni, akili kubwa au ya juu imekubali kutawaliwa na akili ndogo au au akili ya Chini.
Na mimi naungana naye kwamba sisi watanzania tunapenda sana kujipendekeza na ni waoga sana... Ukiangalia kuna Wazee hapo na wanasalimia Shikamoo Rais na yeye anawaambia hamjambo? nao wanaitikia hatujambo shikamoo kama wanafunzi wa shule na waalimu wao.
..haya majamaa pamoja na exposure yaliyonayo bado yanazidiwa hata na baadhi ya wanavijiji wa TZ ya leo....leo hii kuna vijiji TZ hawadanganyiki na hadaa za wanasiasa wa kibongo...lakini inatia simanzi kuona mijitu hii iko US lakini yana behave kama hayajatoka.....ndo maana yanaalikwaga kwa ahadi za vyakula hadi leo wanapotembelewa na wanasiasa matapeli wa kibongo.....what a shame!!...Hiyo mijitu imenikera sana.
Nn Nilifikiri ukisha chukua uraia wa marekani masuala yote ya wabongo hu pay attention kabisa...ni kama unamlalamikia an ex wife kwa kukuaibisha..or am wrong?