Hivi nyie watu wa DMV mkoje?!

Hivi nyie watu wa DMV mkoje?!

Hivi huu ujinga bado upo? Wameniharibia usiku wangu baada ya kimbunga.
 
Hahahahaha!! Nadhani watu wanaenda na jinsi jamaa anavyopenda. Kusifiwa ujingaujinga nao wakampelekea kitu anapenda
 
Wametia aibu. Au anawapa $? Au kuandaliwa party na wengine wabakie na tips? Sikutegemea. Au ni wa chama chake? Na huu uroho wa madaraka watu wa DMV wanaaibisha. Kila leo wanasutana.
 
Huyo alikuwa anaimba aliwahi kuwa mcheza ngoma, so anakumbushia kipaji chake! Damn mipumbafu, jamaa nae atulie bongo sasa! Utafkiri Ni balozi wa USA
 
you can take the man out of the bush but you cant take the bush out of a man
hao hata uwaweke siberia, wataimba baba-baba, hadi siku ya kiama
Asanteni kwa ushahidi wa video, kuna mambo mtu huwezi kuamini yanaweza kutokea mpaka ujionee, duh! Nimeona hapo sura ambazo...oh my God! Hii ni safari ya ngapi vile...400+?
 
Kama unaona ni kosa kumuita baba, ungekuwa wewe ungemkaribishaje raisi wako?
 
Mie nilidhani ni mtoto wa JK anaolewa.

Kumbe wengi wao ni wanafiki tuu.

Waulize lini mara ya mwisho kumwimbia baba yao mzazi huo wimbo.

Full kujipendekeza!

Jimama zima halina hata tone la haya kupiga piga vigelegele.

Jinga kabisa.
 
Hebu oneni huu upuuzi wa hii mijitu ya DMV.

I mean, what the hell is this? See it for yourself folks.

Eti baba baba.....man STFU! Mnakera sana nyie mijitu.

Pole sana, tunavuna tulichokipanda kwa muda mrefu..... Aliwahi kusema Mch. Msigwa Pale bungeni, akili kubwa au ya juu imekubali kutawaliwa na akili ndogo au au akili ya Chini.

Na mimi naungana naye kwamba sisi watanzania tunapenda sana kujipendekeza na ni waoga sana... Ukiangalia kuna Wazee hapo na wanasalimia Shikamoo Rais na yeye anawaambia hamjambo? nao wanaitikia hatujambo shikamoo kama wanafunzi wa shule na waalimu wao.
 
Acheni hasira punguzeni jazba... Wanamfagilia Rais wao kwakuwa anawafaa sanaa... kwao ni kama celebrity! Wewe na mimi wa Matejoo, Kwamtogolee, Kambi ya Fisi, Mabatini, Kilimatinde, pasua, chwakwa, mchambawima, majengo, tukuyu, mtakuja et al Hayatuhusu... sisi tuvumilie tu hadi 2015...
 
hehehehe huyo bibi ndio kapandwa na mizuka anaimba kwa nguvu hataree. nimeelewa kwa nini imekuwa hivyo.. angalia na aina ya watu waliokuwa wanapiga makelele...yupo mdada mmoja anaonekana mstaarabu wala hakuwa na muwasho. yeye alijesema tu "karibu sana mheshimiwa"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom