Hivi nyie wanawake mna shida gani?

Hivi nyie wanawake mna shida gani?

mwambie wazi kwamba mwanaume asoweza kuwalinda wa karibu yake basi huyo si mwanume............

wahenga walisema

'shona kanzu kadiri ya kimo chako'

hivyo asishobokee wasokuwa hadhi yake,

mtu mzima anapanga nyumba ya mganga halafu anaogopa kunuka uvumba...............
nashanga''''''''''''

Sijawahi kuona mtu mwenye pesa analalamika, huwa wanalalamika hawa vibushuti wasio nazo....
 
Mwenye hela hawasemi tena wanatafuta wa kuzitumia wanaosema haooooooooooooo pangu pakavu
 
hivi wanawake mmekuaje mbona siwaelewi vile hasa wa mjini mmekuja kua tegemezi hasa mnapopata boyfriend mpya
mara naomba hela ya vocha,mara ya saloon,mara kodi ya nyumba imekwisha,mara nitoe out bill ikija alipe mwanaume wewe kimyaaa,hv hamjui kuwa na sisi tunamajukum ya kulea wazazi?au mnafikiri hizo hela tunaokota?
eti ndo mnataka haki sawa,kama mnapenda kuomba kaen na mabakuli njian tutawasaidia.naomba niwaeleze sasa hv
kila kitu pasupasu hakuna kumtegemea mwenzio wizi mtupu.ukimpa hela utaitwa majina yote mara honey apple dear
wizi mtupu.na siku hizi wameanzisha mtindo eti hata ukijamba anakupa pole honey hujaumia,nan kakwambia kupumua unaumia?NAOMBA TUHESHIMIANE..........

hahahaaa...... na bado hajakwambia, "baby nipeleke chooni"
Utadeki ocean aiseee.
 
wew baada ya kuchunwa ndo unakuja kulalamika huku au yupo humu jf???
 
hivi wanawake mmekuaje mbona siwaelewi vile hasa wa mjini mmekuja kua tegemezi hasa mnapopata boyfriend mpya
mara naomba hela ya vocha,mara ya saloon,mara kodi ya nyumba imekwisha,mara nitoe out bill ikija alipe mwanaume wewe kimyaaa,hv hamjui kuwa na sisi tunamajukum ya kulea wazazi?au mnafikiri hizo hela tunaokota?
eti ndo mnataka haki sawa,kama mnapenda kuomba kaen na mabakuli njian tutawasaidia.naomba niwaeleze sasa hv
kila kitu pasupasu hakuna kumtegemea mwenzio wizi mtupu.ukimpa hela utaitwa majina yote mara honey apple dear
wizi mtupu.na siku hizi wameanzisha mtindo eti hata ukijamba anakupa pole honey hujaumia,nan kakwambia kupumua unaumia?NAOMBA TUHESHIMIANE..........

Duh mkuu hapo kwenye red kweli huyo atakuwa mwizi mkubwa kabisa weka mbali na wallet yako.
 
Jamani mwanaume atakula kwa jasho na mwanamkr atazaa kwa uchungu, pasu kwa pasu ukisaidiwa usiluamu maana vijana wa sasa wameshazoea kuhongwa
 
Duh!!! Ebwana mkuu hapo umesema kwery maana ninahuyo demu wangu tulizinguana imepitakama wiki1 hivi nikampigia cm hakupokea akanijibu kwasms usipige cm ww nipo Manama nababa kesho yake akanitumia sms ukowapi naikamjibu nipo nn akaniambia nashida yaelf 20000 mumewangu sikumjibu badae akatuma tena sms daer mbonana hunijibu sms zangu hapo ndio nilipo amin wakiwa nashida hayo majina utachoka ww
 
Tema mate tuwachape hao Mademu wamezidi. Na sasa tunasepa nibora tununue tuu.:flypig:

sa tofaut ipo wapi??maana kununua u gonna open ur wallet..acheni uchoyo sharing is caring
 
PEMA UJAPOPEMA, UKIPEMA SI PEMA TENA!
Wacha zako!
 
Mwanaume wa kweli hatakiwi kulalamika, huo ni wajibu wetu bro
 
Nachekaje hapa nafatilia uzi kwa makini ila ni kwel japokuwa sio wooote
 
Siku hiz wanaume wanaogopa hata kuingia kwny mahusiano sbb ya hizo gharama, punguzeni utegemezi bana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom