Hivi nyie wanawake mna shida gani?

Hivi nyie wanawake mna shida gani?

Mi nakushairi bora uwe single haya mengine achie wanaume wanaojiwezaa
 
mwambie wazi kwamba mwanaume asoweza kuwalinda wa karibu yake basi huyo si mwanume............

wahenga walisema

'shona kanzu kadiri ya kimo chako'

hivyo asishobokee wasokuwa hadhi yake,

mtu mzima anapanga nyumba ya mganga halafu anaogopa kunuka uvumba...............
nashanga''''''''''''

Hapa apaone jembe afrika .
 
Last edited by a moderator:
Huna wazazi hadi nikupe pesa, nikikupa pesa yangu ni kwa sababu nimeamua na si kwa kulazimishwa, nakupa pesa kutokana na uwezo wangu na si kujitutumua afu kesho sina hata nauli kwenda job......

Nashindwa kuelewa kwa nini hawa watu walitaka haki sawa, kwa usawa gani hasa? Mkubali tujue moja, mlelewe tujue moja, mnataka usawa il hali mko tegemezi 100%?
 
basi ndo usishie kupiga punyeto hadi upinde mgongo uje hapa uhamie jf doctor!!!! Lmao!!
Unahasira af kama nakuona upo kibanda cha mpesa kumtumia bebi ela ya pochi!!!!
Hahahahah ndo ivo kijana mjini apa msingi kiuno, hasira kijijiniiiii!!!
 
hivi wanawake mmekuaje mbona siwaelewi vile hasa wa mjini mmekuja kua tegemezi hasa mnapopata boyfriend mpya
mara naomba hela ya vocha,mara ya saloon,mara kodi ya nyumba imekwisha,mara nitoe out bill ikija alipe mwanaume wewe kimyaaa,hv hamjui kuwa na sisi tunamajukum ya kulea wazazi?au mnafikiri hizo hela tunaokota?
eti ndo mnataka haki sawa,kama mnapenda kuomba kaen na mabakuli njian tutawasaidia.naomba niwaeleze sasa hv
kila kitu pasupasu hakuna kumtegemea mwenzio wizi mtupu.ukimpa hela utaitwa majina yote mara honey apple dear
wizi mtupu.na siku hizi wameanzisha mtindo eti hata ukijamba anakupa pole honey hujaumia,nan kakwambia kupumua unaumia?NAOMBA TUHESHIMIANE..........

Wanawake wa bongo wanapenda miterezo ni balaaa. Mm nimesoma na binti wa Iran. Alikuwa hataki nilipe gharama za chakula tunapoenda hoteli. Nikawa najiuliza why! Alipenda awe free woman. Mwanamke anayependa kulipiwa kila kitu kila wakati na mahali popote anajiweka ktk kongwa la utumwa wa mapz au ngono.
 
wanabaki kulalama tu humu mjengoni
usikimbilie matawi ya juu kuyafakamia kama karanga
halafu unakuja jijutia mwenyewe eti wanatuomba helaa
nasi tuna wazazi wakuwalea mm yanihuuuu!
ukitaka kunilea shurti unigharamikie kwanza kisha ndo
mpango mzima wa ndugu na jamaa zako upo hapo
hhheeeeeeeeeeeeiya mtachunika mpaka mtoboke
hachuniki mtu hapa
 
Wanawake wa bongo wanapenda miterezo ni balaaa. Mm nimesoma na binti wa Iran. Alikuwa hataki nilipe gharama za chakula tunapoenda hoteli. Nikawa najiuliza why! Alipenda awe free woman. Mwanamke anayependa kulipiwa kila kitu kila wakati na mahali popote anajiweka ktk kongwa la utumwa wa mapz au ngono.
madem wetu wa hapa bongo vilaza kweli
 
basi ndo usishie kupiga punyeto hadi upinde mgongo uje hapa uhamie jf doctor!!!! Lmao!!
Unahasira af kama nakuona upo kibanda cha mpesa kumtumia bebi ela ya pochi!!!!
Hahahahah ndo ivo kijana mjini apa msingi kiuno, hasira kijijiniiiii!!!

nakwambia watu tumesanda
 
Huna wazazi hadi nikupe pesa, nikikupa pesa yangu ni kwa sababu nimeamua na si kwa kulazimishwa, nakupa pesa kutokana na uwezo wangu na si kujitutumua afu kesho sina hata nauli kwenda job......

Nashindwa kuelewa kwa nini hawa watu walitaka haki sawa, kwa usawa gani hasa? Mkubali tujue moja, mlelewe tujue moja, mnataka usawa il hali mko tegemezi 100%?

wape wape za uso hao wamezidi
 
Hahahaha eti ukijamba unapewa pole,,,pole sana mkuu ila cha kufanya wewe chukua jukumu la kumrekebisha mpnz wako,,,kwan hao wanawake unaowazungumzia ndo hao hao unaowatongoza na unaokutana nao.wanaume wote wakiamua kuzungumza na wapenz wao wenye tabia kama uliyoizungumzia ww watabadilika change ni mm na ww
 
Tema mate tuwachape hao Mademu wamezidi. Na sasa tunasepa nibora tununue tuu.:flypig:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom