Hivi nyie wanawake mna shida gani?

Hivi nyie wanawake mna shida gani?

jembe afrika

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
7,602
Reaction score
3,782
hivi wanawake mmekuaje mbona siwaelewi vile hasa wa mjini mmekuja kua tegemezi hasa mnapopata boyfriend mpya
mara naomba hela ya vocha,mara ya saloon,mara kodi ya nyumba imekwisha,mara nitoe out bill ikija alipe mwanaume wewe kimyaaa,hv hamjui kuwa na sisi tunamajukum ya kulea wazazi?au mnafikiri hizo hela tunaokota?
eti ndo mnataka haki sawa,kama mnapenda kuomba kaen na mabakuli njian tutawasaidia.naomba niwaeleze sasa hv
kila kitu pasupasu hakuna kumtegemea mwenzio wizi mtupu.ukimpa hela utaitwa majina yote mara honey apple dear
wizi mtupu.na siku hizi wameanzisha mtindo eti hata ukijamba anakupa pole honey hujaumia,nan kakwambia kupumua unaumia?NAOMBA TUHESHIMIANE..........
 
Kila kitu pasu kwa pasu hata papuchi itakuwa pasu kwa pasu.
 
Hahahaaaaaaa. Lols. Sounds like somebody aint getting laid soon. Lmao.
 
Hivi nanyi wanaume wa siku hizi mmekuaje?
ukiombwa vijisenti unakuja kuanzisha thread kama una hela za mawazo si uache tutapewa na mapapaa?
kwani unshikiwa bunduki jamani......

Aaah mpe hyo vidonge vyake akiweza ameze akishindwa ateme...shaur yke
 
Uwiiiiii umemwaga maji ya moto kwenye mzinga wa nyuki, wangoje tu wapo lunch wanakuja sasa hivi
 
Hivi nanyi wanaume wa siku hizi mmekuaje?
ukiombwa vijisenti unakuja kuanzisha thread kama una hela za mawazo si uache tutapewa na mapapaa?
kwani unshikiwa bunduki jamani......
kwa nin uwe omba omba tafuta za kwako
 
besti mbona unaporomosha maneno utadhani umewekea morta mdomoni ?
kulikoni majanga yailiyokusibu mpaka utoe lugha za kila mkoa hapa?
pole kwa kisanga kilichokupata yaonesha wewe ni mtu wa kaskazi
hivi wanawake mmekuaje mbona siwaelewi vile hasa wa mjini mmekuja kua tegemezi hasa mnapopata boyfriend mpya
mara naomba hela ya vocha,mara ya saloon,mara kodi ya nyumba imekwisha,mara nitoe out bill ikija alipe mwanaume wewe kimyaaa,hv hamjui kuwa na sisi tunamajukum ya kulea wazazi?au mnafikiri hizo hela tunaokota?
eti ndo mnataka haki sawa,kama mnapenda kuomba kaen na mabakuli njian tutawasaidia.naomba niwaeleze sasa hv
kila kitu pasupasu hakuna kumtegemea mwenzio wizi mtupu.ukimpa hela utaitwa majina yote mara honey apple dear
wizi mtupu.na siku hizi wameanzisha mtindo eti hata ukijamba anakupa pole honey hujaumia,nan kakwambia kupumua unaumia?NAOMBA TUHESHIMIANE..........
 
ndo matatizo ya vijana wanakulia kwa mama hawa
hawana jipya nikuwatolea :israel:
Hivi nanyi wanaume wa siku hizi mmekuaje?
ukiombwa vijisenti unakuja kuanzisha thread kama una hela za mawazo si uache tutapewa na mapapaa?
kwani unshikiwa bunduki jamani......
 
besti mbona unaporomosha maneno utadhani umewekea morta mdomoni ?
kulikoni majanga yailiyokusibu mpaka utoe lugha za kila mkoa hapa?
pole kwa kisanga kilichokupata yaonesha wewe ni mtu wa kaskazi
hubomwi mtu hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom