Hivi nyie wanawake mna shida gani?

Hivi nyie wanawake mna shida gani?

kwani raha si tunapata wote au ni pekeyangu hah!

Raha kitu gani wewe kwani hata ukiweka cotton budd skioni si unasikia raha???
mtumiaji wa papuchi na atoe hela ya uchakavu over!!!
hutaki chapa lapa ushawahi kushikiwa bunduki ili utoe hela???
 
Naweza pata papuchi yako bure?
 
Haujafundwa vizuri na wazazi au na jamii ikuzungukuyo.
Pasu kwa pasu unauhakika utaweza wewe? Au unaongea tu??
Timiza majukumu yako kama mwanaume, kama unaona hauwezi kaa benchi,tena kimyaaa sio kwa kelele.

Wanaume mmebadilika sanaa siku hizi, haswa wa kibongo. Nyie ndio mmekuwa na vitabia vya kuomba omba hela za vocha na buku ishirini kwenye mpesa na tigo pesa.

Mkitoka kula na kunywa, bill ni responsibility yako lakini cha kushangaza mwanamke aki offer kulipa (sometimes kukujaribu) hata hamshtuki eti ndio mnaona mmpepata mmke bora. Wewe unaakili sawasawa kweli? where are your manners? Kweli kabisaaaaaaaaaa ulikua ukiona wazazi wako wakiishi hivyo? baba yako alikuwa akilalamikia majukumu yake kwa mamako? Mnataka haki sawa kwa wote mpaka kwenye majukumu yenu ya kiume??

Ok so basically kodi hautaki kuchangia na hata vocha pia hautaki kutuma? Mkitoka hamtaki kulipa? Ila papuchi mnataka tena at times mnaipigia kwenye ile ile nyumba ambayo mmekataa kuchangia kodi. Na simu mnataka kupigiwa tena kwa mahaba yote na mkitoka akutambulishe kwa watu kuwa wewe ni bwanake?? Na unakasirika kabisa ukisikia kwamba unasaidiwa mtaani? Wewe si shetwani kabisaaa???

Kaa benchi tena ukiona wanawake funga macho kabisa upite upande mwingine wa barabara, haufai!! Kwa taarifa yenu huwa tunalipa bills ila tunawaona wa ajabu mnoo na vitabia vyenu. Na ukiendelea kulalamika hivyo ukiachwa usishangae sanaa maana hizo ni dalili zionyeshazo hata ukioa utakuwa na mkono wa birika hivyo hivyo. Kama pesa hauna ijulikane hauna lakini sio ubahili ambao hauna kichwa wala miguu.
Huwa hatupendi mwanaume anayelalamika lalamika vitu vya ajabu. Akitokea anayejua wajibu wake tu hauna lako hapo. Jiheshimu.
 
Pole sna Mpwa yote uliongea ni ya kweli kabisa na ukweli mtupu,ila hapo kwenye red mwenzio nilianza zamani kidogo yaani siku hizi hata tukiwa "mpirani" lazima tubadilishane goli....kwanini mimi nicheze upande mmoja tu hadi mpira uishe? Niliamua kuwa nikichezacheza baada ya muda tunabadilishana goli, na wewe unakuja juu unahangaika weee kama na mimi nilivyokuwa na hangaika, sio nipige chenga peke yangu.
hivi wanawake mmekuaje mbona siwaelewi vile hasa wa mjini mmekuja kua tegemezi hasa mnapopata boyfriend mpya
mara naomba hela ya vocha,mara ya saloon,mara kodi ya nyumba imekwisha,mara nitoe out bill ikija alipe mwanaume wewe kimyaaa,hv hamjui kuwa na sisi tunamajukum ya kulea wazazi?au mnafikiri hizo hela tunaokota?
eti ndo mnataka haki sawa,kama mnapenda kuomba kaen na mabakuli njian tutawasaidia.naomba niwaeleze sasa hv
kila kitu pasupasu hakuna kumtegemea mwenzio wizi mtupu.ukimpa hela utaitwa majina yote mara honey apple dear
wizi mtupu.na siku hizi wameanzisha mtindo eti hata ukijamba anakupa pole honey hujaumia,nan kakwambia kupumua unaumia?NAOMBA TUHESHIMIANE..........
 
Pole sna Mpwa yote uliongea ni ya kweli kabisa na ukweli mtupu,ila hapo kwenye red mwenzio nilianza zamani kidogo yaani siku hizi hata tukiwa "mpirani" lazima tubadilishane goli....kwanini mimi nicheze upande mmoja tu hadi mpira uishe? Niliamua kuwa nikichezacheza baada ya muda tunabadilishana goli, na wewe unakuja juu unahangaika weee kama na mimi nilivyokuwa na hangaika, sio nipige chenga peke yangu.
...hahahaha...
mnabadilishana goli, unaanza kumfunga, baadae yeye anakufunga. lol..
 
Kuna upuuzi mtupu hapa. Hakuna majukumu ya kike wala kiume, labda kwenye mambo ya kuzaa TU ambayo kweli kuna ishu za kibaiolojia ndani.

Nani kasema kulipia nyumba ni jukumu la kiume? Wewe unaongea mambo ya utamaduni, na utamaduni unabadilika kila mara.

Nyie wanawake mnataka haki sawa, kumbe nyie ni wanafiki tu. Mnataka haki ya kufanya kazi, lakini ukifika wakati wa kulipia kitu chochote hamtaki kutoa hela, mnataka kuendelea kuchuna wanaume tu.

Zamani wanaume walikuwa na majukumu ya kulipia vitu vingi kwa sababu wanaume ndo walikuwa wanafanya kazi na walikuwa na hela. Kazi ya mwanamke ilikuwa kukaa nyumbani na kuzaa watoto. Basi. Kwa hali hiyo lazima wanaume wawe na majukumu.

Sasa hivi mnadai haki zote. Na mimi na sema ni vizuri tu, nataka usawa kati ya wanaume na wanawake. LAKINI, huwezi kusema unataka usawa halafu bado mnakuwa tegemezi kwa wanaume wenu hata mkiwa na kazi zenu.

Kwa hiyo, chagueni mnataka nini - haki sawa, au kuendelea kuwa housewives mpaka mwisho. Kama mnataka kuwa housewives jitoeni kazini na vyuoni, nendeni kukaa nyumbani, na sisi wanaume tutawalipia kila kitu. Lakini kama mnataka kazi zenu na pesa zenu, ACHENI KUTUCHUNA SISI WANAUME.

Haujafundwa vizuri na wazazi au na jamii ikuzungukuyo.
Pasu kwa pasu unauhakika utaweza wewe? Au unaongea tu??
Timiza majukumu yako kama mwanaume, kama unaona hauwezi kaa benchi,tena kimyaaa sio kwa kelele.

Wanaume mmebadilika sanaa siku hizi, haswa wa kibongo. Nyie ndio mmekuwa na vitabia vya kuomba omba hela za vocha na buku ishirini kwenye mpesa na tigo pesa.

Mkitoka kula na kunywa, bill ni responsibility yako lakini cha kushangaza mwanamke aki offer kulipa (sometimes kukujaribu) hata hamshtuki eti ndio mnaona mmpepata mmke bora. Wewe unaakili sawasawa kweli? where are your manners? Kweli kabisaaaaaaaaaa ulikua ukiona wazazi wako wakiishi hivyo? baba yako alikuwa akilalamikia majukumu yake kwa mamako? Mnataka haki sawa kwa wote mpaka kwenye majukumu yenu ya kiume??

Ok so basically kodi hautaki kuchangia na hata vocha pia hautaki kutuma? Mkitoka hamtaki kulipa? Ila papuchi mnataka tena at times mnaipigia kwenye ile ile nyumba ambayo mmekataa kuchangia kodi. Na simu mnataka kupigiwa tena kwa mahaba yote na mkitoka akutambulishe kwa watu kuwa wewe ni bwanake?? Na unakasirika kabisa ukisikia kwamba unasaidiwa mtaani? Wewe si shetwani kabisaaa???

Kaa benchi tena ukiona wanawake funga macho kabisa upite upande mwingine wa barabara, haufai!! Kwa taarifa yenu huwa tunalipa bills ila tunawaona wa ajabu mnoo na vitabia vyenu. Na ukiendelea kulalamika hivyo ukiachwa usishangae sanaa maana hizo ni dalili zionyeshazo hata ukioa utakuwa na mkono wa birika hivyo hivyo. Kama pesa hauna ijulikane hauna lakini sio ubahili ambao hauna kichwa wala miguu.
Huwa hatupendi mwanaume anayelalamika lalamika vitu vya ajabu. Akitokea anayejua wajibu wake tu hauna lako hapo. Jiheshimu.
 
Kuna upuuzi mtupu hapa. Hakuna majukumu ya kike wala kiume, labda kwenye mambo ya kuzaa TU ambayo kweli kuna ishu za kibaiolojia ndani.

Nani kasema kulipia nyumba ni jukumu la kiume? Wewe unaongea mambo ya utamaduni, na utamaduni unabadilika kila mara.

Nyie wanawake mnataka haki sawa, kumbe nyie ni wanafiki tu. Mnataka haki ya kufanya kazi, lakini ukifika wakati wa kulipia kitu chochote hamtaki kutoa hela, mnataka kuendelea kuchuna wanaume tu.

Zamani wanaume walikuwa na majukumu ya kulipia vitu vingi kwa sababu wanaume ndo walikuwa wanafanya kazi na walikuwa na hela. Kazi ya mwanamke ilikuwa kukaa nyumbani na kuzaa watoto. Basi. Kwa hali hiyo lazima wanaume wawe na majukumu.

Sasa hivi mnadai haki zote. Na mimi na sema ni vizuri tu, nataka usawa kati ya wanaume na wanawake. LAKINI, huwezi kusema unataka usawa halafu bado mnakuwa tegemezi kwa wanaume wenu hata mkiwa na kazi zenu.

Kwa hiyo, chagueni mnataka nini - haki sawa, au kuendelea kuwa housewives mpaka mwisho. Kama mnataka kuwa housewives jitoeni kazini na vyuoni, nendeni kukaa nyumbani, na sisi wanaume tutawalipia kila kitu. Lakini kama mnataka kazi zenu na pesa zenu, ACHENI KUTUCHUNA SISI WANAUME.

mkuu hao madem wanatakiwa hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom