Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 821
- 1,501
- Thread starter
- #21
Ndo unismartshe sasa, au unataka wifi ako naye aseme nimeharibika?kijana wetu anatakiwa awe smart
Ndo unismartshe sasa, au unataka wifi ako naye aseme nimeharibika?kijana wetu anatakiwa awe smart
Big naona unavuta binti kwa njia isiyo ya moja kwa moja.Marahaba binti mrembo.
Weka picha iwe rahisi kushauliwa hata picha ya msaada wa mtandaoOya nye watu mliopo humu... Jana kuna demu nimemzingua kisa kasema sura yangu imeharibika.
Hebu mnambie nitumie dawa gani ili niondoe chunusi huku usoni.
Sawa dokta.Bado unakuwa zitaisha zenyewe naona huyo demu kakuumiza sana kisaikolojia uzi wa pili huu ndani ya dk20 kuhusu chunusi
Glad to hear it.mi sijambo kabisa kaka mkubwa😅😅
Moyo wangu mjinga nakulaumu...Kumbe we dogo ndio unanisemeshaga kama mtu mzima wakati balehe haijakata?
Sawa sawa mr. Gentleman.Gentleman pole,
katika mabadiliko na ukuaji wa mwili wa mwanadamu, kuna wakati anakua na vichocheo vingi mwilini, na hupelekea kutoka chunusi,
Lakini pia,
punguza msongo wa mawazo na vyakula vyenye mafuta kupunguza au kuondokana kabisa na chunusi, lakini pia shiriki mazoezi mara kwa mara ili kuondoa msongamano wa seli zilizokufa mwilini mwako,
Fanya usafi wa mwili wako kikamilifu kuondoa seli au mafuta yanayoziba vinyweleo vyoko ambavyo baadae husababisha chunusi,
tumia vifaa muafa kunyolea ndevu na sehemu mbalimbali zenye nywele mwilini mwako.
Kumbuka,
changamoto hiyo ikizidi, tafadhali muone daktari
Sawa, ila nataka nibadili na huu uso.Oya Tafuta Demu Mwingine...
Uzipeleke Wapi...??Sawa, ila nataka nitoe na hizi chunusi.
Wewe unaukubwa gani?! Umepata stress kisa demu amekuambia unachunusi..?! Hadi unakuja kuanzisha nyuzi mbilimbili coz of chunusi!!Sawa dokta.
Ila mbona zinakuja ukubwani? Maana under15 nilikuwa sina.
umeniita mkuu, kunani?
mambo ya hela hayo. Wenyewe wanaita sasampa.
Unajua kuwa leo ndo nimejua kama ni mwanaume, siku za nyuma nikiwa naona avatar yake najua yeye ni mwanamke tu.Alafu nishakwambia, badili hiyo profile photo yako mjomba kuna siku utabakwa.
Nilikuwa nakazia ushauri wako kuwa aache kulegea legea atoke magetoni atafute pesa ndo dawa pekee ya chunusiumeniita mkuu, kunani?
Miaka 17! Half of my age! Like seriously?? Kuanzia kesho ukiamka naomba unipe heshima yangu mtoto sawa?😳Moyo wangu mjinga nakulaumu...
Kwa sauti ya dayameta.