Hivi nitakuja kuoa kweli!!

Ukikua ukajua umuhimu wa ndoa utaoa tuuu
 
Natamani kuishi bachelor milele, najuta kwanini sikuwa padri, na bado nafikiria kurudi huko.

Acha upumbavu wewe...
Mwenzio najuta kwanini nipo huku, wewe unataka kukimbilia huku... Maisha yako yote yanakua punyeto tuu...
 
Acha upumbavu wewe...
Mwenzio najuta kwanini nipo huku, wewe unataka kukimbilia huku... Maisha yako yote yanakua punyeto tuu...
Uliingia kimakosa ndiyo maana yamekupata yaliyokupata.
 
"Kama unaona kuoa ni shida, basi jaribu kuolewaeeee"

.
.
.
Naimba tu!
mentor......!, katika ubora wakoo [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mkuu umechkua uamuzi mgumu, yani umeona PD tuu hujiskii kuoa eti unaona kinyaaa,,,,,,Jeee

√√Ukiona mwamamke anazaa jeeee, hata huyo mtoto wa kike utakuwa humtakii...[emoji15] [emoji15]

*akili za viroba
 
Ukipata huyo Mtoto wa kike Tafadhali Nipe taarifa
 
..kanasema Shetani alikapitia?,..
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hata km ndoa inahusu nani?! Can't be serious.....huwezi kumaliza story bila kuweka vionjo vya utani mkuu?!
 
mkuu umechkua uamuzi mgumu, yani umeona PD tuu hujiskii kuoa eti unaona kinyaaa,,,,,,Jeee

√√Ukiona mwamamke anazaa jeeee, hata huyo mtoto wa kike utakuwa humtakii...[emoji15] [emoji15]

*akili za viroba
Umeanza kwa maneno ya busara, tatizo umemalizia kimcharuko. Ngoja nkupuuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…