FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,141
- 1,448
- Thread starter
- #61
Wewe wasema!Unachunguza mpaka Pedi ya mama akoo..!!??? Una laana weweee..
Wewe wasema!Unachunguza mpaka Pedi ya mama akoo..!!??? Una laana weweee..
Thawa..wanawake huchuki ila kilicho ndani ya ya wanawake unachukia? anyway OA kwa hisani yako umri unaenda kwanza utasikia raha sana ukiitwa Dad hakuna raha kama hiyo niamini..
[HASHTAG]#Usiforce[/HASHTAG] tufananeyaani sahivi nnamademu kama wa3 hivi afu natamani niwaoe wote caz wananipa rahaaaa.....afu wewe unasemaaaaaa????
Hahahahah.. Kasamehe tu mkuu.. Kashenz Sana akoNimejitambulisha kwao. Niko siriazi kabisa. Nakahudumia vizuri. Familia ya kenyewe wakanifahamu vizuri. Mimi nakaheshimu nasubirisha siku ya harusi kumbe kenyewe kanampa papuchi yangu ex wake. Sasa eti kanalia kanaomba msamaha mpaka kupitia kwa mchungaji wetu mi hata hisia nako sina tena. Yaani hovyo sana mkuu!
Sichukii wanawake,nawapenda Sana, na ndio maana huwa nataman kupata katoto kamoja ka kike.Kumbuka na hako katoto ka kiume kanazaliwa na mwanamke. Kama mama yako alivyokuzaa wewe.
Basi kama unawachukia wanawake na mtoto unamtaka na kama kuna njia ambayo mwanaume anaweza kukuzalia mtoto fanya hivyo raha jipe mwenyewe
na dada yakoIla wanawake wa kizazi hiki nuksi tu
Kama ni hivyo basi oa mchungajiAta mie nilisha kata tamaa kumpata mke wa kuoa! Wote nawaona mapaparazi tu..

muwe mnaamka usiku kusali na kula tunda,ila jipange anasa za dunia basiiii..kama anapesa naomba nimuoe"Kama unaona kuoa ni shida, basi jaribu kuolewaeeee"
.
.
.
Naimba tu!
Mchungaji nampata wapi sasa aliye single!Kama ni hivyo basi oa mchungajimuwe mnaamka usiku kusali na kula tunda,ila jipange anasa za dunia basiiii..
Jamani yaani niende kanisani kwa nia ya kumtongoza mtumishi(mama mchumgaji)Zama makanisani wako wengi...ila jipange kupanga na kupangua maswali ya vifungu vya biblia![]()
![]()
Mapadri wenyewe sometime yanawashinda wananjunjuu kama kawa na wengine wana watt..Mkuu, nimesema sina tatizo lolote la kiafya.. Huenda nilikuwa nawito WA kipadri, sema ndio vile siku concentrate mapema!!

Duh! banza stone nimemkumbuka ila aliimba kuhusu elimu."Kama unaona kuoa ni shida, basi jaribu kuolewaeeee"
.
.
.
Naimba tu!
Labda iyo pesa nkupe unizalie kadogo Kisha uniachie mwanang!!mkuu unayopesa unilipe milioni moja tu kwa wiki nikufunde akili yako itabadili mtazamo wako na utapenda ndoa mnoo
Hawakuwa na wito hao. Waliforce tuMapadri wenyewe sometime yanawashinda wananjunjuu kama kawa na wengine wana watt..![]()
![]()
![]()
Je km hana dadana dada yako
Tulia tu mkuu! Mda ukifika utaoa tu...
Kuna umri ukifika kama bado hujaoa kwanzia ndugu na jamii kwa uzima watakusakama. Baada ya umri fulani mwanaume hasiye na ndoa hudharaulika kiaina, we mwenyewe utatamani tu ndoa mkuu. Ko wala usiwe na papara, kula ujana ila mda utakuja uaenze kutamani ndoa.
Ndoa ni sign ya maturity na ability to be a responsible man. It takes more than dushe to be a husband aisee.
Hongereni wote mliochukua hatua ya kuoa.
Bado mkuu!WE ushaolewa mtoto mzuri?