FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,141
- 1,448
- Thread starter
- #121
Kwan Kuna kionjo cha utan hapo mkuu?![]()
![]()
![]()
hata km ndoa inahusu nani?! Can't be serious.....huwezi kumaliza story bila kuweka vionjo vya utani mkuu?!

Em niambie hizo raha mkuu!!Oa tu.. Niraha sana
hata sijui hiyo firstClass uliyopata nahsi ni ya kipuuzi ,kwani Hao walokupa hiyo class nao ni wapuuzi tuuUmeanza kwa maneno ya busara, tatizo umemalizia kimcharuko. Ngoja nkupuuze
Sawaa!!hata sijui hiyo firstClass uliyopata nahsi ni ya kipuuzi ,kwani Hao walokupa hiyo class nao ni wapuuzi tuu
Hahahaha"Kama unaona kuoa ni shida, basi jaribu kuolewaeeee"
.
.
.
Naimba tu!
Malizia kuogea na cm kwanza mkuuUmeshiba magimbi nn???
Ila mkuu kuishi bila mpenzi (demu) ni raha sana mimi nafikiria kuyaacha makoloni yangu yote nibaki single.
Fuata kinachokupa amani na utulivu wa nafsi mkuu ili uwe na maisha marefu. Si wote tuna wito wa ndoa.Wajuzi wa mambo nawasalimu..
Aisee sijawai fikilia kuoa, yani imefikia kipindi hadi aya mambo ya ndoa nahisi kama sikuumbiwaga mimi.
Kuhusu kusalitiwa ni kweli iliwahi nitokea, lakini sioni kama ndio chanzo sababu hata yule aliyenisaliti sikumpenda kwa dhati. Kwa kifupi usaliti wake ulinisaidia sana kumuacha. Ni kweli Kuna kipindi huwa sitamani hata kukaa na mwanamke karibu, huenda ndio ikawa sababu Lakini bado siamini sababu napenda sana kukaa na Maza angu..
Au labda sababu nakinyaa sana (uwa nikiona Pd ya ke uwa nakosa hadi hamu ya Kula. Yani itanitesa kiakili hata miezi3 au habari za kuzama uvinza,aisee siwezi kwakwelii) Hii hali nishashindwa kuivumilia.Mnisamehe buree...Au labda sababu wanawake hulaumiwa sana..(Chanzo cha usaliti).. Au labda sio lazima wote tuoe.
Lakini pamoja na yote hayo, bado natamani kupata katoto ka kike!! wakuu, hakatakuja kufanyiwa malipo kweli hapa hapa duniani ? Au nibadilishe nitamani ka kiume!!! Kiafya sina tatizo lolote. Kuhusu kuumiza mwanamke sijawai pia, daima huachana kwa amani bda ya kumtafutia kosa.
Huwa namuonea imani sana mdada anayeleta story za sijui ndoa yetu, Yani hapa ndio huwa sichangii point hata km swali linahusu ndoa ya Daud Bashite
Aiseee sijui kama nitakuja kuoa!!!
Hahahah.. Wamekufanya nn tena shekheMi sioi tena hawa madem nuksi mnooooo
FactFuata kinachokupa amani na utulivu wa nafsi mkuu ili uwe na maisha marefu. Si wote tuna wito wa ndoa.
Acha upumbavu wewe...
Mwenzio najuta kwanini nipo huku, wewe unataka kukimbilia huku... Maisha yako yote yanakua punyeto tuu...
Sio lazima kuoaWajuzi wa mambo nawasalimu..
Aisee sijawai fikilia kuoa, yani imefikia kipindi hadi aya mambo ya ndoa nahisi kama sikuumbiwaga mimi.
Kuhusu kusalitiwa ni kweli iliwahi nitokea, lakini sioni kama ndio chanzo sababu hata yule aliyenisaliti sikumpenda kwa dhati. Kwa kifupi usaliti wake ulinisaidia sana kumuacha. Ni kweli Kuna kipindi huwa sitamani hata kukaa na mwanamke karibu, huenda ndio ikawa sababu Lakini bado siamini sababu napenda sana kukaa na Maza angu..
Au labda sababu nakinyaa sana (uwa nikiona Pd ya ke uwa nakosa hadi hamu ya Kula. Yani itanitesa kiakili hata miezi3 au habari za kuzama uvinza,aisee siwezi kwakwelii) Hii hali nishashindwa kuivumilia.Mnisamehe buree...Au labda sababu wanawake hulaumiwa sana..(Chanzo cha usaliti).. Au labda sio lazima wote tuoe.
Lakini pamoja na yote hayo, bado natamani kupata katoto ka kike!! wakuu, hakatakuja kufanyiwa malipo kweli hapa hapa duniani ? Au nibadilishe nitamani ka kiume!!! Kiafya sina tatizo lolote. Kuhusu kuumiza mwanamke sijawai pia, daima huachana kwa amani bda ya kumtafutia kosa.
Huwa namuonea imani sana mdada anayeleta story za sijui ndoa yetu, Yani hapa ndio huwa sichangii point hata km swali linahusu ndoa ya Daud Bashite
Aiseee sijui kama nitakuja kuoa!!!
Wajuzi wa mambo nawasalimu..
Aisee sijawai fikilia kuoa, yani imefikia kipindi hadi aya mambo ya ndoa nahisi kama sikuumbiwaga mimi.
Kuhusu kusalitiwa ni kweli iliwahi nitokea, lakini sioni kama ndio chanzo sababu hata yule aliyenisaliti sikumpenda kwa dhati. Kwa kifupi usaliti wake ulinisaidia sana kumuacha. Ni kweli Kuna kipindi huwa sitamani hata kukaa na mwanamke karibu, huenda ndio ikawa sababu Lakini bado siamini sababu napenda sana kukaa na Maza angu..
Au labda sababu nakinyaa sana (huwa nikiona Pd ya ke uwa nakosa hadi hamu ya Kula. Yani itanitesa kiakili hata miezi3 au habari za kuzama uvinza,aisee siwezi kwakwelii) Hii hali nishashindwa kuivumilia.Mnisamehe buree...Au labda sababu wanawake hulaumiwa sana..(Chanzo cha usaliti).. Au labda sio lazima wote tuoe.
Lakini pamoja na yote hayo, bado natamani kupata katoto ka kike!!
hata uvinza tunakwenda bila nauli.
Tulia tu mkuu! Mda ukifika utaoa tu...
Kuna umri ukifika kama bado hujaoa kwanzia ndugu na jamii kwa uzima watakusakama. Baada ya umri fulani mwanaume hasiye na ndoa hudharaulika kiaina, we mwenyewe utatamani tu ndoa mkuu. Ko wala usiwe na papara, kula ujana ila mda utakuja uaenze kutamani ndoa.
Ndoa ni sign ya maturity na ability to be a responsible man. It takes more than dushe to be a husband aisee.
Hongereni wote mliochukua hatua ya kuoa.