"Kama unaona kuoa ni shida, basi jaribu kuolewaeeee"
.
.
.
Naimba tu!

Natamani kuishi bachelor milele, najuta kwanini sikuwa padri, na bado nafikiria kurudi huko.
Uliingia kimakosa ndiyo maana yamekupata yaliyokupata.Acha upumbavu wewe...
Mwenzio najuta kwanini nipo huku, wewe unataka kukimbilia huku... Maisha yako yote yanakua punyeto tuu...
Naam, bila shaka!!Je daudi bashite ana taarifa zako?
Sasa nkue Mara ngap mkuu!!Ukikua ukajua umuhimu wa ndoa utaoa tuuu
mda huo huo wapo wanandoa waliolala mzungu wa4 au vyumba tofauti.Upweke![]()
Wenye ndoa wamekumbatiwa saivi, huo mda wa kushika simu wautoe wapi?
Kweli mkuu! Yuko likizo tumda huo huo wapo wanandoa waliolala mzungu wa4 au vyumba tofauti.
Waliokua wote wameoa mana wanajua umuhimu wakeSasa nkue Mara ngap mkuu!!
mentor......!, katika ubora wakoo"Kama unaona kuoa ni shida, basi jaribu kuolewaeeee"
.
.
.
Naimba tu!

Ukipata huyo Mtoto wa kike Tafadhali Nipe taarifaWajuzi wa mambo nawasalimu..
Aisee sijawai fikilia kuoa, yani imefikia kipindi hadi aya mambo ya ndoa nahisi kama sikuumbiwaga mimi.
Kuhusu kusalitiwa ni kweli iliwahi nitokea, lakini sioni kama ndio chanzo sababu hata yule aliyenisaliti sikumpenda kwa dhati. Kwa kifupi usaliti wake ulinisaidia sana kumuacha. Ni kweli Kuna kipindi huwa sitamani hata kukaa na mwanamke karibu, huenda ndio ikawa sababu Lakini bado siamini sababu napenda sana kukaa na Maza angu..
Au labda sababu nakinyaa sana (uwa nikiona Pd ya ke uwa nakosa hadi hamu ya Kula. Yani itanitesa kiakili hata miezi3 au habari za kuzama uvinza,aisee siwezi kwakwelii) Hii hali nishashindwa kuivumilia.Mnisamehe buree...Au labda sababu wanawake hulaumiwa sana..(Chanzo cha usaliti).. Au labda sio lazima wote tuoe.
Lakini pamoja na yote hayo, bado natamani kupata katoto ka kike!! wakuu, hakatakuja kufanyiwa malipo kweli hapa hapa duniani ? Au nibadilishe nitamani ka kiume!!! Kiafya sina tatizo lolote. Kuhusu kuumiza mwanamke sijawai pia, daima huachana kwa amani bda ya kumtafutia kosa.
Huwa namuonea imani sana mdada anayeleta story za sijui ndoa yetu, Yani hapa ndio huwa sichangii point hata km swali linahusu ndoa ya Daud Bashite
Aiseee sijui kama nitakuja kuoa!!!
So mapadri wte n watoto..Waliokua wote wameoa mana wanajua umuhimu wake
Ukmpata WA kunizalia uniPM mkuuUkipata huyo Mtoto wa kike Tafadhali Nipe taarifa
Hebu nenda kazae miss chagga mkuuUkmpata WA kunizalia uniPM mkuu
..kanasema Shetani alikapitia?,..Nimejitambulisha kwao. Niko siriazi kabisa. Nakahudumia vizuri. Familia ya kenyewe wakanifahamu vizuri. Mimi nakaheshimu nasubirisha siku ya harusi kumbe kenyewe kanampa papuchi yangu ex wake. Sasa eti kanalia kanaomba msamaha mpaka kupitia kwa mchungaji wetu mi hata hisia nako sina tena. Yaani hovyo sana mkuu!
Wajuzi wa mambo nawasalimu..
Aisee sijawai fikilia kuoa, yani imefikia kipindi hadi aya mambo ya ndoa nahisi kama sikuumbiwaga mimi.
Kuhusu kusalitiwa ni kweli iliwahi nitokea, lakini sioni kama ndio chanzo sababu hata yule aliyenisaliti sikumpenda kwa dhati. Kwa kifupi usaliti wake ulinisaidia sana kumuacha. Ni kweli Kuna kipindi huwa sitamani hata kukaa na mwanamke karibu, huenda ndio ikawa sababu Lakini bado siamini sababu napenda sana kukaa na Maza angu..
Au labda sababu nakinyaa sana (uwa nikiona Pd ya ke uwa nakosa hadi hamu ya Kula. Yani itanitesa kiakili hata miezi3 au habari za kuzama uvinza,aisee siwezi kwakwelii) Hii hali nishashindwa kuivumilia.Mnisamehe buree...Au labda sababu wanawake hulaumiwa sana..(Chanzo cha usaliti).. Au labda sio lazima wote tuoe.
Lakini pamoja na yote hayo, bado natamani kupata katoto ka kike!! wakuu, hakatakuja kufanyiwa malipo kweli hapa hapa duniani ? Au nibadilishe nitamani ka kiume!!! Kiafya sina tatizo lolote. Kuhusu kuumiza mwanamke sijawai pia, daima huachana kwa amani bda ya kumtafutia kosa.
Huwa namuonea imani sana mdada anayeleta story za sijui ndoa yetu, Yani hapa ndio huwa sichangii point hata km swali linahusu ndoa ya Daud Bashite
Aiseee sijui kama nitakuja kuoa!!!
hata km ndoa inahusu nani?! Can't be serious.....huwezi kumaliza story bila kuweka vionjo vya utani mkuu?!Umeanza kwa maneno ya busara, tatizo umemalizia kimcharuko. Ngoja nkupuuzemkuu umechkua uamuzi mgumu, yani umeona PD tuu hujiskii kuoa eti unaona kinyaaa,,,,,,Jeee
√√Ukiona mwamamke anazaa jeeee, hata huyo mtoto wa kike utakuwa humtakii...![]()
![]()
*akili za viroba