Hivi nitakuja kuoa kweli!!

Hivi nitakuja kuoa kweli!!

Tuko pamoja mkuu. Hata mimi nimeghairi. Nilikachemkia kabinti ka Kisukuma majuzi hapa kidogo kaniue kwa presha. Yaani hivi vibinti vya kisasa aisee ni kazi tena pevu.

Kwa sasa nimeamua kumkazania Mungu na mengine yote katika dunia hii ni madogo. Nina amani na ridhiko la kweli. Wakati ukifika bila shaka nitapata ishara otherwise kama ulivyosema, siyo lazima wote tuoe. Hapo nakubaliana nawe kabisa kwa asilimia 100 zote kabisa !
 
Wakati muafaka wa kuoa ni pale unapokua tiyari kuoa. Wakati ukifika msukumo wa kuoa toka ndani ya moyo wako utakufanya uhitaji kuoa kuliko kitu kingine.
 
Aisee hilo swala even mm linanipa wakati mgumu sana.... Sitak kuoa ila manzi niliyenae saivi ana akili za maendeleo knoma, kila anachonishauri kinafanikiwa.. nahisi kushikwa
 
Hahahah.. Tuambizane mkuu, kamefanya nn hako ka usukumani!!
 
Mkuu km unafanikiwa ukiwa nae oa. Tena usimuache aende!!
 
Wakati muafaka wa kuoa ni pale unapokua tiyari kuoa. Wakati ukifika msukumo wa kuoa toka ndani ya moyo wako utakufanya uhitaji kuoa kuliko kitu kingine.
Sizan kwa upande wng!!
 
Muda ulio post uzi inaonyesha bado ulikua usingizini nadhani ukiamka utaoa tu
 
yaani sahivi nnamademu kama wa3 hivi afu natamani niwaoe wote caz wananipa rahaaaa.....afu wewe unasemaaaaaa????
 
Kumbuka na hako katoto ka kiume kanazaliwa na mwanamke. Kama mama yako alivyokuzaa wewe.

Basi kama unawachukia wanawake na mtoto unamtaka na kama kuna njia ambayo mwanaume anaweza kukuzalia mtoto fanya hivyo raha jipe mwenyewe
 
Hahahah.. Tuambizane mkuu, kamefanya nn hako ka usukumani!!
Nimejitambulisha kwao. Niko siriazi kabisa. Nakahudumia vizuri. Familia ya kenyewe wakanifahamu vizuri. Mimi nakaheshimu nasubirisha siku ya harusi kumbe kenyewe kanampa papuchi yangu ex wake. Sasa eti kanalia kanaomba msamaha mpaka kupitia kwa mchungaji wetu mi hata hisia nako sina tena. Yaani hovyo sana mkuu!
 
Tatizo mkuu unanilisha maneno. Wapi nimesema nachukia wanawake. Hivi ningekuwa nachuki dhidi ya ke ningetamani kupata mtoto WA kike?

Nawathamini tena Sana tu..
wanawake huchuki ila kilicho ndani ya ya wanawake unachukia? anyway OA kwa hisani yako umri unaenda kwanza utasikia raha sana ukiitwa Dad hakuna raha kama hiyo niamini..
 
Unachunguza mpaka Pedi ya mama akoo..!!??? Una laana weweee..
 
Sasa utashindwa vipi kuoa wakati tiyari ushatembea na hao hao wanawake? Hizi akili hizi sijui tumelogwa na nani!!! ungeniambia unatamani kuanzisha mahusiano kwa mara ya kwanza lakini unaogopa hapo sawa/ lakini ushakula tena ukaacha halafu unasema unaogopa!!!
 
Unafananishane kutembea na mtu na ndoa!! Unaelewa chochote khs ndoa?
 
Back
Top Bottom