Hivi nitakuja kuoa kweli!!

Thawa..
 
Jitathmini kwanza kama ukiona papuchi unahisi kinyaa nna wasiwasi na testesteron hormon zako na pia ina aashiria hupati hamu ya kugegeda sasa hofu inakujaa unajifichia kwenye kutokuoa



Kwa upande mwingine labda una matatizo ya kisaikolojia au akili yako haijakomaa kiasi cha kuweza kufikiria kwamba siku moja utahitaji kuwa na mke
 
28
Napenda kuishi na mom, wap nimesema napenda kuishi kwake!!
28 bado unachukia tabia za wanawake? ivi tatizo ni hilo tuu au kuna zaidi? mdogo wangu wakiume he is 27 ana 4 kids na maisha yake wewe hata wakusingiziwa utaka ufike 40 ndio uitwe Dad jipange uondoe mawazo ya ajabu kama kuna kitu hutaki kuona kwa mkeo unamwambia mapema,na kuhusu ku cheat hakuna alie kamilika anaweza kua asi cheat akawa na tafran nyengine ukajuta,cha msingi mtangulize mwenyezi mungu kwenye kila jambo lako inshallah atakuongoza..
 
Mkuu, nimesema sina tatizo lolote la kiafya.. Huenda nilikuwa nawito WA kipadri, sema ndio vile siku concentrate mapema!!
 
Yani yote uliyoyan\ongea yananihusu mimi pia. Ninakinyaa sana yani kupita maelezo.
 
Tatizo mkuu unanilisha maneno. Wapi nimesema nachukia wanawake. Hivi ningekuwa nachuki dhidi ya ke ningetamani kupata mtoto WA kike?

Nawathamini tena Sana tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…