FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,141
- 1,448
- Thread starter
- #21
Heheheh, kumbe tupo wengi!! Ndio fureeeshi bna..Natamani kuishi bachelor milele, najuta kwanini sikuwa padri, na bado nafikiria kurudi huko.
Heheheh, kumbe tupo wengi!! Ndio fureeeshi bna..Natamani kuishi bachelor milele, najuta kwanini sikuwa padri, na bado nafikiria kurudi huko.
Tatizo ni mie mkuu, hisia za kuoa sijawai kumbana nazo!!Utaoa kijana,omba Mungu akupe mke bora
Thawa..Tulia tu mkuu! Mda ukifika utaoa tu...
Kuna umri ukifika kama bado hujaoa kwanzia ndugu na jamii kwa uzima watakusakama. Baada ya umri fulani mwanaume hasiye na ndoa hudharaulika kiaina, we mwenyewe utatamani tu ndoa mkuu. Ko wala usiwe na papara, kula ujana ila mda utakuja uaenze kutamani ndoa.
Ndoa ni sign ya maturity na ability to be a responsible man. It takes more than dushe to be a husband aisee.
Hongereni wote mliochukua hatua ya kuoa.
Period yake unaionaje?Nimemaanisha P na sio Ped!!
Wewe wasema!!
28Una umri gani? nadhani utakua bado mdogo mpaka unapenda kukaa kwa Mama..ni utoto tuu ukikua utaoa...
28 bado unachukia tabia za wanawake? ivi tatizo ni hilo tuu au kuna zaidi? mdogo wangu wakiume he is 27 ana 4 kids na maisha yake wewe hata wakusingiziwa utaka ufike 40 ndio uitwe Dad jipange uondoe mawazo ya ajabu kama kuna kitu hutaki kuona kwa mkeo unamwambia mapema,na kuhusu ku cheat hakuna alie kamilika anaweza kua asi cheat akawa na tafran nyengine ukajuta,cha msingi mtangulize mwenyezi mungu kwenye kila jambo lako inshallah atakuongoza..28
Napenda kuishi na mom, wap nimesema napenda kuishi kwake!!
Mkuu, nimesema sina tatizo lolote la kiafya.. Huenda nilikuwa nawito WA kipadri, sema ndio vile siku concentrate mapema!!Jitathmini kwanza kama ukiona papuchi unahisi kinyaa nna wasiwasi na testesteron hormon zako na pia ina aashiria hupati hamu ya kugegeda sasa hofu inakujaa unajifichia kwenye kutokuoa
Kwa upande mwingine labda una matatizo ya kisaikolojia au akili yako haijakomaa kiasi cha kuweza kufikiria kwamba siku moja utahitaji kuwa na mke
Tatizo mkuu unanilisha maneno. Wapi nimesema nachukia wanawake. Hivi ningekuwa nachuki dhidi ya ke ningetamani kupata mtoto WA kike?28 bado unachukia tabia za wanawake? ivi tatizo ni hilo tuu au kuna zaidi? mdogo wangu wakiume he is 27 ana 4 kids na maisha yake wewe hata wakusingiziwa utaka ufike 40 ndio uitwe Dad jipange uondoe mawazo ya ajabu kama kuna kitu hutaki kuona kwa mkeo unamwambia mapema,na kuhusu ku cheat hakuna alie kamilika anaweza kua asi cheat akawa na tafran nyengine ukajuta,cha msingi mtangulize mwenyezi mungu kwenye kila jambo lako inshallah atakuongoza..
Hahahaha, ushawai jalibu kuzama uvinza?Yani yote uliyoyan\ongea yananihusu mimi pia. Ninakinyaa sana yani kupita maelezo.
Daa! labda niipate ya malila Obama.Hahahaha, ushawai jalibu kuzama uvinza?
Thawa..Ukifika 40 ndo utaelewa
Hahahahaha.. Hapo hauta sita?Daa! labda niipate ya malila Obama.
Nitajaribu for the first time.Hahahahaha.. Hapo hauta sita?
Ukilala na kuamka nae pamoja Kuna siku utaiona tu!!Period yake unaionaje?