Hivi nini kwa nini?

Hivi nini kwa nini?

Ayana

Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
12
Reaction score
5
Jamani nimeingia jf hivi karibuni tu lakini kuna kitu kimenikera. Hivi kwa nini hawa wanaume wa kihaya wana majivuno namna hiyo. Mara utamsikia sipendi mwanamke anayeishi uswahilini mara hujui kuongea kiingereza. Hivi kwani mie nimetafuta kiingereza au husband material wanabore sana sitaki hata kuwaona.
 
Ayana karibu sana Chit chat...
 
Last edited by a moderator:
mleta mada toa na evidence ya unachoongea kama huna ni bora udelete hii post kaaaa.....
 
Jamani nimeingia jf hivi karibuni tu lakini kuna kitu kimenikera. Hivi kwa nini hawa wanaume wa kihaya wana majivuno namna hiyo. Mara utamsikia sipendi mwanamke anayeishi uswahilini mara hujui kuongea kiingereza. Hivi kwani mie nimetafuta kiingereza au husband material wanabore sana sitaki hata kuwaona.

hahahahahahahahaha!
utaisoma namba!
 
Jamani nimeingia jf hivi karibuni tu lakini kuna kitu kimenikera. Hivi kwa nini hawa wanaume wa kihaya wana majivuno namna hiyo. Mara utamsikia sipendi mwanamke anayeishi uswahilini mara hujui kuongea kiingereza. Hivi kwani mie nimetafuta kiingereza au husband material wanabore sana sitaki hata kuwaona.

Vipi mama, umeingia 18 za kina Ruta?? Pole sana. Karibu kwangu, niko single kabisaaaaa.
 
Mamyto mbona cjakupata vizuri!
>hupendi majivuno ya wahaya ndo tabia
>kuna mhaya anakutokea humu ndani!! Hana swaga! Au inakuwaje!
 
Jamani nimeingia jf hivi karibuni tu lakini kuna kitu kimenikera. Hivi kwa nini hawa wanaume wa kihaya wana majivuno namna hiyo. Mara utamsikia sipendi mwanamke anayeishi uswahilini mara hujui kuongea kiingereza. Hivi kwani mie nimetafuta kiingereza au husband material wanabore sana sitaki hata kuwaona.

tatizo lako ni ukaguzi! Nenda kwa Asprin ukaguliwe halafu akupeleke kwa kungwi gfsonwin ndio uje tena hapa!
Baada ya hapo utajua kilichowafanya The secretary, Madame B na sweetlady kuwatema Bishanga, Ruttashobolwa na nitonye respectively!
 
Last edited by a moderator:
tatizo lako ni ukaguzi! Nenda kwa Asprin ukaguliwe halafu akupeleke kwa kungwi gfsonwin ndio uje tena hapa!
Baada ya hapo utajua kilichowafanya The secretary, Madame B na sweetlady kuwatema Bishanga, Ruttashobolwa na nitonye respectively!
Filipo babu Asprin alisema anastaafu kazi ya ukaguzi na anatafuta wa kumkabidhi kuna babu mpya zumbemkuu anaweza kusaidia manake Asprin tangu atoke uchagani kula sikukuu ametoweka humu sijui bado anakunywa mbege alizobeba toka uchagani
 
Last edited by a moderator:
Filipo babu Asprin alisema anastaafu kazi ya ukaguzi na anatafuta wa kumkabidhi kuna babu mpya zumbemkuu anaweza kusaidia manake Asprin tangu atoke uchagani kula sikukuu ametoweka humu sijui bado anakunywa mbege alizobeba toka uchagani

sidhani kama amestaafu jumla! Anafanya kwa mkataba
 
Last edited by a moderator:
Sasa na wewe unataka kutuboa hapa. Haujui google? Ukikutana na jitu linajidai matawi wewe unaamkia pale alipolalia. Unaongelea wknd za zenj na holidays za dubai! Kwani umetoka mwezini, changamka bibie shida ukizaliwa nazo si kosa lako, kosa kufa nazo. Eboo!
 
Filipo babu Asprin alisema anastaafu kazi ya ukaguzi na anatafuta wa kumkabidhi kuna babu mpya zumbemkuu anaweza kusaidia manake Asprin tangu atoke uchagani kula sikukuu ametoweka humu sijui bado anakunywa mbege alizobeba toka uchagani
Mi nakuangalia tu. Aliyesema nastaafu ni nani? Acha kuninukuu vibaya, nilisema naacha kukagua mabinti wasio na viwango, sasa huyu kwakuwa ana viwango mwambie a come this way eti...... Filipo nilimpa mamlaka aifanye hii kazi pale ntakapokuwa sipo. Hii itanisaidia kupunguza foleni ya wanaohitaji kukaguliwa.:mwaaah:
 
measkron babu kahongwa,
ila nahisi ananiandalia kazi ya kukagua hata vikongwe. hivi vikongwe humu wanakaguliwa na nani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom