Hivi nikichelewa kwenda kuripoti chuo watanizingua?

Hivi nikichelewa kwenda kuripoti chuo watanizingua?

Nakushauri kama umepungukiwa laki nne nenda chuoni karipoti waambie hali halisi kisha lipa ada ndo urudi kuitafuta.
 
Fuata sheria za chuo. Kujaribiana kumepitwa na wakati otherwise una risk nafasi yako. Wewe uki beep hawa jamaa wanaweza kukupigia hizi ni enzi za jpm na mama jn .
 
Hata mimi ninashangaa hiyo 2m kama direct cost, hili kweli jamani? Hebu mwenye uelewa zaidi wa jambo hili atusaidie
yan mkuu kuna vibangala kibao vya kulipia hapo bado nauli ya dar-mbeya
 
Nenda chuo kajisajili kwanza alafu utarudi kupiga vibarua...

wameandika kwamba NO REGISTRATION WILL BE DONE BEFORE PAYMENT OF ALL DIRECT COST ngoja tu nianze kazi nipate hyo hela
 
sisi hatujui mkuu fanya reseach jarib kaa wiki mbili bila kuripot alaf tuletee marejesho ili wengine tujue ukweli.
 
Course work ndio tatizo utakuta wenzio washapata nusu ya marks za course work
 
Dah kama kuna vibarua vyakukuingiza hela hiyo fasta haina haja yakwenda chuo kwasasa
 
Mkuu ukienda na hela yote wanayohitaji hata kama ni wiki ya nne naamin watakuchukua, tena makumira private ingekuwa shida kidogo kama kingekuwa chuo cha umma, saka fuba mkuu ukapige msuli
 
Hee! Milioni mbili direct cost au umejumlisha na ada?

By the way makumira ni private wanaangalia hela kwanza chelewa tu japo usizidishe
 
Back
Top Bottom