Hivi nikichelewa kwenda kuripoti chuo watanizingua?

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
619
Reaction score
371
Habari wakuu.
nauliza kwamba nikichelewa kuripoti chuo wanaweza wakanirudisha? maana kwenye joining instruction wamesema *your chance is given for two weeks only* sasa nkiangalia direct cost ni kama mil.2 nataka nipge vibarua kitaa angalau nipate ya kwenda kuanzia .
 
Kibarua gani upige kwa muda mfupi hivyo upate almost 2 mil ndugu na pia umepangwa chuo gani ??Tuanze hapo kwanza kabla ya ushauri..
 
nimepangwa tumaini makumira .mkuu sio nina hela pungufu ndo maana nataka nipige job niongezee itimie bado kama kilo nne
 
Inategemea na chuo mkuu, mfano pale udsm , first year wanaripot tar 8/
10 kwa ajil ya orientation course,hii inasaidia ww fisrt kuyafaham mazingira vizur kabla ya kuaNza rasmi masomo, wanasemaga wiki mbil usiporipot baada ya hapo watakufuta sio kwel, lkn jitahid uwah kabla ya siku mbil wasije wakakufanyia kwel kukufuza
 
oriantation ni tar 3 .lkn mie nataka kuripoti tar 8 mkuu maana kesho ndo naingia job
 
Haufukuzwi ila lipa ada kabisa kinachofanywa zitajwe hizo wiki ni kwa ajili ya kukusanya mapato. Lipa halafu unasema uliona watu wengi muda wa kujisajili (labda km mnajsajili online) umevusha mpaka hiyo siku uliyoenda kujisajili.
 
oriantation ni tar 3 .lkn mie nataka kuripoti tar 8 mkuu maana kesho ndo naingia job
Japo inategemea chuo na chuo,lakini muhimu sana ni kutochelewa zaidi ya 3 weeks baada ya hiyo siku iliyowekwa nj ya kuripoti kwa wote.Hiyo wiki
1 ni maalum kwa registration kwa wote na orientation,Baada ya huo muda huo waliotenga maalum kitakachofuata ni wew ambaye bado kuwatafuta mwenyewe popote walipo mara mm1 unampata huku mwingine kule mara ametoka kidogo,mara atakuja kesho kutwa ndio changamoto za kuchelewa,Japo utakuja kukamilisha.Mfano mzuri ni kwa mtu aliyekuja kuomba ushauri hapa Jukwaani mwaka huu karibia January Yeye alipangwa UDOM lakini alidai hakuona kwamba amepewa mkopo akaomba ushauri,akaambiwa awasiliane na uongozi wa chuo na hatimaye alileta mrejesho kwamba aliruhusiwa.Ko kikubwa tafuta hela japo usichelewe sana.
 
Direct cost 2m kweli Elimu imepanda.
 
Habari wakuu.
nauliza kwamba nikichelewa kuripoti chuo wanaweza wakanirudisha? maana kwenye joining instruction wamesema *your chance is given for two weeks only* sasa nkiangalia direct cost ni kama mil.2 nataka nipge vibarua kitaa angalau nipate ya kwenda kuanzia .
Kama unaweza kupata zaidi ya laki nne ndani ya wiki 1 au 2 unataka usome nini ili upate nini? Bora usome open huku unafanya kazi au kasome mwakan, maana hata mimi natafuta hicho kibarua cha kupata hata hiyo laki nne kwa mwezi sembuse wewe kwa wiki 1 tu unapata hiyo laki nne.
 
Back
Top Bottom