Hivi ni vidonge GANI?

Hivi ni vidonge GANI?

Habar wakuu wakati natafuta tafuta brash la Viatu kupekua pekua nimekuta hivi vidonge naomba kujuzwa ni nini hivi kwasabu sijawahi kuviona

Jamani naombeni majibu naona watu mna comment masihara sana naombeni jibu la kuelewek tafadhali naombeni sana majibu

AsantenView attachment 2521628
Screenshot_20230218-154436_Google.jpg

Mkuu hizo ni dawa za kufubaza makali ya virusi vya ukimwi..sema nae taratibu,ila usipaniko.
 
Daah i can feel your pain..naona weekend yako imeharibika leo..Jiulize na kama vidonge ni vya usalama kwanini vifichwe? Hapo kuna walakini..! Hivyo vidonge sio vya usalama huenda
SAWA nachunguza
 
Habar wakuu wakati natafuta tafuta brash la Viatu kupekua pekua nimekuta hivi vidonge naomba kujuzwa ni nini hivi kwasabu sijawahi kuviona

Jamani naombeni majibu naona watu mna comment masihara sana naombeni jibu la kuelewek tafadhali naombeni sana majibu

AsantenView attachment 2521628
Ondoa shaka mkuu ivi ni vidonge vya uzazi kuzuia Mimba.....kataa wahuni
 
Nilishakula demu akawa analazimisha Sana nivae two condoms nikavaa,huyu aliniomba msaada nikamsaidia halafu nikamwomba penzi akawa anagoma goma baadaye akaniambia sharti nivae condom double,nilivaa nikamla baadaye akaniambia ukweli,
 
Daah inatisha weekend leo imekuja vibaya sana..ila trust me Mungu bado anakupenda ndugu yangu kuweza kugundua hilo. Naamini huwa kuna miujiza unaweza kabisa kutoka salama!

Wapo wengi walicheza rafu sana tena rafu mbaya sana..lakini Amini Mungu yupo wapo watu wameponea tundu la sindano..Naomba Mungu huu muujiza ukutembelee na wewe ni mojawapo ya funzo kubwa.
 
Nilishakula demu akawa analazimisha Sana nivae two condoms nikavaa,huyu aliniomba msaada nikamsaidia halafu nikamwomba penzi akawa anagoma goma baadaye akaniambia sharti nivae condom double,nilivaa nikamla baadaye akaniambia ukweli,
Lakini Wala sikupata
 
Back
Top Bottom