Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 451
Hodi Wana bodi, natumia wote ni wazima wa afya.
Wakuu hapa mkoani, jirani na bomani ambapo mkuu wa mkoa anaishi, kwa nyuma Kuna nyumba kama ofisi fulani Ivo, lakini Cha ajabu nyumba hizo sijawahi ona mtu akitoka au kuingia na milango yake muda wote imefugwa.
Cha ajabu Zaidi inje kuna bendera ya taifa na huwa na magari meusi ambayo hayana plate namba.
Ajabu Zaidi njia inayoelekea kwenye nyumba hizo Haina rami na watu huwa hawakatizi.
Na jiuliza sana je hivi ni ofisi za nini?