Hivi ni ofisi za nini?

Azimio la kazi

Senior Member
Jun 7, 2023
138
451
Hodi Wana bodi, natumia wote ni wazima wa afya.

Wakuu hapa mkoani, jirani na bomani ambapo mkuu wa mkoa anaishi, kwa nyuma Kuna nyumba kama ofisi fulani Ivo, lakini Cha ajabu nyumba hizo sijawahi ona mtu akitoka au kuingia na milango yake muda wote imefugwa.

Cha ajabu Zaidi inje kuna bendera ya taifa na huwa na magari meusi ambayo hayana plate namba.

Ajabu Zaidi njia inayoelekea kwenye nyumba hizo Haina rami na watu huwa hawakatizi.

Na jiuliza sana je hivi ni ofisi za nini?
 
Najua unasemea mkoani Tabora wewe, hizo nyumba tunasikilizia mziki wa Diamond ile ngoma inaitwa Yope karibu uburudike kijana
 
Hodi Wana bodi, natumia wote ni wazima wa afya.

Wakuu hapa mkoani, jirani na bomani ambapo mkuu wa mkoa anaishi, kwa nyuma Kuna nyumba kama ofisi fulani Ivo, lakini Cha ajabu nyumba hizo sijawahi ona mtu akitoka au kuingia na milango yake muda wote imefugwa.

Cha ajabu Zaidi inje kuna bendera ya taifa na huwa na magari meusi ambayo hayana plate namba.

Ajabu Zaidi njia inayoelekea kwenye nyumba hizo Haina rami na watu huwa hawakatizi.

Na jiuliza sana je hivi ni ofisi za nini?
You are up for soemthing...... !!! Go there, knock the door and ask for their IDs !!!
 
Hodi Wana bodi, natumia wote ni wazima wa afya.

Wakuu hapa mkoani, jirani na bomani ambapo mkuu wa mkoa anaishi, kwa nyuma Kuna nyumba kama ofisi fulani Ivo, lakini Cha ajabu nyumba hizo sijawahi ona mtu akitoka au kuingia na milango yake muda wote imefugwa.

Cha ajabu Zaidi inje kuna bendera ya taifa na huwa na magari meusi ambayo hayana plate namba.

Ajabu Zaidi njia inayoelekea kwenye nyumba hizo Haina rami na watu huwa hawakatizi.

Na jiuliza sana je hivi ni ofisi za nini?
Mkuu Kwan Kila jambo lazima ulifahamu ,mengine yaangalie tuu
 
Hivi unahisi ukitoa maelezo tu bila picha utaeleweka kweli?

Kama unavutiwa sana na kufahamu hizo ofisi ni za nini hebu kapige picha ulete humu watu wanazozifahamu watakueleza kama una shida ya kupata huduma hapo.
Awake picha...
 
Hodi Wana bodi, natumia wote ni wazima wa afya.

Wakuu hapa mkoani, jirani na bomani ambapo mkuu wa mkoa anaishi, kwa nyuma Kuna nyumba kama ofisi fulani Ivo, lakini Cha ajabu nyumba hizo sijawahi ona mtu akitoka au kuingia na milango yake muda wote imefugwa.

Cha ajabu Zaidi inje kuna bendera ya taifa na huwa na magari meusi ambayo hayana plate namba.

Ajabu Zaidi njia inayoelekea kwenye nyumba hizo Haina rami na watu huwa hawakatizi.

Na jiuliza sana je hivi ni ofisi za nini?
Huwa mnajijengea hofu za kipumbavu.
 
Wasiojulikana wanawekaje plate number?
 
Doh

🤣
 
Back
Top Bottom