Hivi ni nini kinaendelea Clouds Tv?

Hivi ni nini kinaendelea Clouds Tv?

Habari ndugu watanzania wenzangu na wazalendo wote mnaopenda maendeleo ya taifa letu teule.

Dhumuni la uzi huu ni kuhoji mwenendo unaoonekana katika kituo cha televisheni cha Clouds TV hasa kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan.
Kiukweli nashangazwa kama sio kupigwa butwaa na mwenendo wa vipindi ambavyo kwa masaa yote vimekuwa vishabihi maudhui ya kipindi hiki cha wanaimani wenzetu. Yaani tokea asubuhi hadi jioni imekuwa ni matangazo......kampeni na vipindi ambavyo ni vinavyohusu imani ya kiustadhi tu kiasi kwamba najiuliza hivi hii stesheni ni ya kihafidhina au ni nini.
Hivi ruge na kujifanya mjuaji kote ameshindwa kujua kuwa clouds inapatikana katika vingamuzi ambavyo vinaifanya kutazamwa na mamilioni ya watanzania bara ambao si wote wanashea imani ya kiislam........
Sikatai kama kituo cha televisheni wanaweza watakia mfungo mwema watazamaji wao ambao wanafunga wakati huu lakini isiwe too much kama wanavyofanya kile si kituo cha dini fulani hadi wakae wakituonyesha mawaidha......mara hadi maigizo yote yanaakisi dini ya kiislam.......watangazaji wote ni asalam aleikum muda wote kwani mliambiwa wapi kuwa inapofika ramadhani tanzania nzima tunafunga?! Mbona hizo mbwe mbwe hatukuziona kipindi cha kwaresma kama nyie ni kweli kituo ambacho mnaheshimu imani za wengine.....?!
Hebu acheni unafiki uongozi wa clouds mnachofanya si jambo la kistaarabu ni unafiki wa kujifanya ni media mnayojali imani kumbe mna masilahi yenu ya kimasoko ya kuwashika akili watu kwa kutumia dini.
Dini ya kiislam wanazo stesheni zao za redio na televisheni ambazo mwezi huu watapata hayo mawaidha na hata ibada wakitaka.
Sasa ninashangaa sana mnapojiita televisheni ya watu au redio ya watu halafu mnafanya unafiki huo wa kujifanya mnajua sana kushabikia imani ya dini fulani na kuitumia kama karata ya kuwashika ili watazame stesheni yenu.......je mnadhani na wasio katika imani hiyo wanafurahia kuaangalia hicho mlicho kazana nacho?!
Hii stesheni m'meanza kufulia vipindi hadi mnaanza kutumia udini kama gia ya kuvutia watazamaji kitu ambacho si kizuri kwa taifa. Mbona wenzenu I.T.V......chanel ten......star tv.......na nyenginezo hawana hayo mashauzi........?!
Huo ni unafiki na muuache mara moja .......kama mnaona vipi basi nendeni mkabadili usajiri wa matangazo ili msajiriwe kama kituo cha matangazo ya dini ya kiislam ila sio kutuonyesha vipindi vyenye maudhui ya dini moja na mkijua wazi hili taifa lina mchanganyiko wa imani........na zipo stesheni maalumu kwa kila imani husika .....wale ambao wanataka hizo vitu waende kutazama huko na sio nyie kuwa wanafiki kwa kuwachota watu akili mkitumia dini yao ili muonekane nyie ni baab kubwa wanafiki wakubwa nyie.
Na kuanzia leo nimeacha rasmi kuwafuatilia vipindi vyenu maana nimeona dhahiri kuwa ninyi si kituo cha watu kama mnavyojiita ila ni watu wavinafsi na haya mnayoyafanya wanatufanya wenye imani tofauti kujihisi kutothaminiwa kabisa na wapanga vipindi wenu.
Bakini na mavipindi yenu ya kinafiki na mjue kuwa kila siku zinapokwenda mnapoteza watazamaji na wasikilizaji m'moja baada ya mwingine. Bora nisikilize radio Tanzania kulikoni Clouds......wamekuwa na mambo ya ajabu sana.
Kusaka you should fire ruge he is not a creative person anymore.......
Anzisha yako mkuu au stesheni nyingine kwani lazima uangalie cloud
 
nikajua unaongelea kukosekana kwa Radio yao hewani tokea Ijumaa alasiri huku Moshi Rural
Na ikosekane tu maana me nawaona hawana faida tena tukizungumzia channel za burudani.............navinakoelekea itakwenda kuchemka muda si mrefu
 
huu ni msimu tu ni mwezi mmoja. ingekuwa christmas ikatangazea kuanzua septemba hakika usingeshtuka! acha fikra zakibaguzi wewe
Jina lako tu tayari linaonyesha ni kwasababu gani umekereka na hii post.....ila wewe sasa ndio unakuwa na fikra za kibaguzi kama haujui. Kuna matangazo au kampeni za msimu wa sikukuu huwa ni kawaida na wala si too much kiasi kama hii inayofanyika sasa.......mimi nipo sensitive kwa vyote si kipindi hiki......ni kama wewe ifike wakati wa kwaresma halafu clouds wakazane kupiga kwaya mara mapadre makatekista masista mara wanajumuiya wawe wanaonyeshwa 24/7 kuongelea kipindi hicho zisadhani kama ungeona ni sawa na nadhani ungeboreka pia maana ungehisi umekazaniwa kuonyeshwa vitu ambavyo si vya imani yako....... so wala usitafasiri hivyo bi dada kuwa mimi ni m'baguzi wa kidini la hasha toa shaka......mimi ni mwanajamii wa kitanzania ambaye ninakuwa nakereka pale ninapoona kuna jambo ambalo linakwenda isivyo sawa.......sawa dada........haya ubaki salama nakupenda sana.
 
Anzisha yako mkuu au stesheni nyingine kwani lazima uangalie cloud
Hiyo siyo suluhu ya tatizo ninalolizungumzia ..........jaribu kuwa problem solver sio mkimbiaji unapoona matatizo au changamoto katika jamii unayoishi.......sawa little brother?!
 
Mle clouds tv kuna watu wasom wa fan tofaut tofaut zaid yako, na jambo wanalolfanya hawakukurupuka kama ww ulvokurupuka kupost, bal management ilkaa na kufkia maamuz ifanye inachokfanya. Hvo kua mpole na ukshndwa kua mpole anzsha televshen yako ujpangie co kumpangia Bwa. Ruge, tatzo mkishashba mnaanza kukosoa waliowazd.
 
hata me naona kweli ile stesheni inawasomi zaidi yangu na wanaakili kama za kwako na watakuwa pia walisoma chuo chako pia........ila pole sana kwa kuwa unahuo mtazamo maana lait kama ungekuwa na upeo wa hata 0.02% kuhusu media ungejenga hoja ila kukusaidia ni kwamba baada ya mwezi huu wa ramadhani kuisha ..........tayari kutakuwa na sehemu kubwa ya watazamaji ambao huu mwezi ulikuwa hauwahusu na wamekereka na aina hii ya kampeni ambayo sijui ina malengo gani........sasa sidhani kama bado watakuwa interested kufuatilia tena programme za hii stesheni. Kwakifupi Clouds media wanachofanya ni "unethical media campaigning" kwa maana ina element za udini ndani yake. Mfano mdogo tu tazama kipindi cha kampeni za kisiasa za uchaguzi kama utakumbuka star tv walipata wakati mgumu kutoka kwa watazamaji wao wa muda mrefu ambao walikuwa wanamind chama cha mapinduzi kurusha kampeni zao mudq mwingi kweny tv hiyo kiasi kwamba ikaonekana ni upendeleo.........lakini kwa wanachama wa chama husika hawakuona shida maana iliwafurahisha kuona mambo yanayohusu chama chao..........sasa ile ni the same unethical issue kama hii.........unless you share the same perspective with the post .......you had no right to contribute your under thinking thoughts about the post.
Ila watoto mnaozaliwa siku hizi ni wepesi sana kufuata mawazo mkumbo kiasi kwamba hata huwa hamjui kutafari na kutoa hoja bila kujishabihisha na kundi fulani la wengi.......hivyo sikulaumu sana.......ila jiongeze.......na usijiamini kihivyo kuwa unajua mambo ya media kunishinda bwana mdogo sawa.....
 
Kama mada zimeisha muwe mnasoma za wenzenu muelimike! sio lazima mtuonyeshe umburula wenu hapa....
 
Jina lako tu tayari linaonyesha ni kwasababu gani umekereka na hii post.....ila wewe sasa ndio unakuwa na fikra za kibaguzi kama haujui. Kuna matangazo au kampeni za msimu wa sikukuu huwa ni kawaida na wala si too much kiasi kama hii inayofanyika sasa.......mimi nipo sensitive kwa vyote si kipindi hiki......ni kama wewe ifike wakati wa kwaresma halafu clouds wakazane kupiga kwaya mara mapadre makatekista masista mara wanajumuiya wawe wanaonyeshwa 24/7 kuongelea kipindi hicho zisadhani kama ungeona ni sawa na nadhani ungeboreka pia maana ungehisi umekazaniwa kuonyeshwa vitu ambavyo si vya imani yako....... so wala usitafasiri hivyo bi dada kuwa mimi ni m'baguzi wa kidini la hasha toa shaka......mimi ni mwanajamii wa kitanzania ambaye ninakuwa nakereka pale ninapoona kuna jambo ambalo linakwenda isivyo sawa.......sawa dada........haya ubaki salama nakupenda sana.

nimekerekwa? kunikera mimi sio jambo rahisi wewe Mshahara tu umeounguzwa na Magufuli sijachukia sembuse vijipost uchwara hivi?
acha kukariri majina yote flan ni dini flani huku kinampanda ni tofauti best umenoaaaa sio dini uiwazayo.
 
Msingi wa hoja ya mtoa post upo kwenye aya hii,
'Hawatoridhia mayahudi na manasara (wakristo) hadi (waislamu) mfuate mila zao'.

Sipati picha kama Ruge angekuwa muislam post yako ingekuaje? Au kama kodi yako ingekua inatumika kuendesha clouds.

Acha Ujinga.
 
pole mpenzi.......niwie radhi......
 
Msingi wa hoja ya mtoa post upo kwenye aya hii,
'Hawatoridhia mayahudi na manasara (wakristo) hadi (waislamu) mfuate mila zao'.

Sipati picha kama Ruge angekuwa muislam post yako ingekuaje? Au kama kodi yako ingekua inatumika kuendesha clouds.

Acha Ujinga.
Acha kuropoka mashudu kijana.......mbona unaongea bila utaratibu sasa. Tafakari kabla haujazungumza ukiona haujaelewa usitumie mihemuko ya kidini kujibu ...........hii post ni ya kizalendo sio ya kidini nyang'au mkosa hekima kabisa.....
Wewe unaona ni sawa watu wanapokiuka miiko ya kitaifa au unadhani upo Iraq au Iran hapa..........pumbavuwakistani kabisa ......
 
Mijichannel ilivyojaa hv kwenye ving'amuzi unashindwa kubadili kwa kipindi hiki kifupi! au unalipia package ya buku.
 
kwani ni lazima kuangalia clouds tv mbona channel zipo nyingi c ubadilishe
 
wewe ndiye mbulula na mbumbumbu kabisa usiyejua nini hakipo sawa.......na unaonekana ni product ya BRN maana hata hauwezi kujua madhara ya kinachoendelea........pengine ruge ni shemeji yako ndio maana unatetea.
Ila kaa ukijua wanachofanya kinaweza kuwa kina kupendeza wewe machoni pako kwasababu unashea imani ila kama ungetizama kwa jicho la tatu ungeona kuwa si jambo la busara kwa stesheni ambayo inatazamwa na halaiki hata kama ni ya binafsi kuwa inafanya ushabiki au kukazia matukio ya kidini kitu ambacho si kizuri........ila nahisi bado haujakomaa kiakili kuyaona hayo ni waliopevuka tu ndio wanaweza kuona.
Inahisi kwa hadithii yako hii wanaweza badilika kupitia ww sahau mkuu hao ndio clouds bhana kama ww hutaki pita vile wengine wanaangalia ni vema ukaangalia tbc nakushauri
 
Maelezo mengi kumbe chuki tuu zinakusumbua...
Angalia TV nyengine...
Sikiliza Radio nyengine...
Waache na process zao,,,
 
Back
Top Bottom