Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,093
- 22,806
- Thread starter
- #41
Elimu elimu elimu.........kizazi kilichopotea huwa mnaropoka sana......hata haujui umeongea nini hapo na bado ngoja muendelee hivyo hivyo kuwa mzembe wakufikiri na kudadavua mambo ya msingi.....Kama mada zimeisha muwe mnasoma za wenzenu muelimike! sio lazima mtuonyeshe umburula wenu hapa....
Unaropoka tu hata haujajua mada inalenga kurekebisha nini unaanza tu kukandia kilaza mkubwa we.......
Na si ajabu ni moja kati ya wale 88 ambao walipata dv 4 ya BRN halafu wakajichomeka kupata degree udom na kurejeshwa kitaa na ndalikacho sasa hivi huna mbele wala nyuma......unabaki kurukia topic usizozielewa
as if ni mchina haujui kusoma kiswahili