wewe ndiye mbulula na mbumbumbu kabisa usiyejua nini hakipo sawa.......na unaonekana ni product ya BRN maana hata hauwezi kujua madhara ya kinachoendelea........pengine ruge ni shemeji yako ndio maana unatetea.Nchi hii ina mbulula na mbumbu wengi sana. Sasa ndio umeandika nini??
Wewe ndiye uliye na ufinyu wa mawazo unayeongea bila kuelewa unasema nini.........kwahiyo akitokea mtu na pesa zake akalipia clouds ionyeshe picha za utupu mchana watakuwa sahihi kukubali kisa wamelipwa..... .?!Ufinyu wa mawazo unaweza kukusababishia kifo sasa yy analalamikia clouzds bila kujua vipi vyote vile ninalipiwa kama hata angali chanel nyingine usiwe mvivu wa kufikiri utadhindwa kuishi maisha salam
True that my friend. Ila nilikuwa nawapa tu alert kuwa wamepitiliza na program zao maana too much ya chochote huwa inaboa sana......... yaani si tu maswala ya kiimani hata ingekuwa ni jambo lolote lingine unapokazania kuonyesha kitu fulani cha msimu wa kipindi fulani kwa kulenga watu fulani tu hiyo si mzuri maana kuna wengine unachokionyesha hakiwapi msisimko wowote zaidi ya kuwakera so why not tusiwaambie.Ohh butthurt people hawakosekani,alafu kwanini kila siku clouds kwani hamna chaneli nyingine?huu ndo mfungo wa ramadhan upo powerfull sana bro wala usijisumbue maana unajipiga promo wenyewe mpaka magazeti hua yanatenga kinafasi yanaatuhisabia siku ya ngapi leo katika mfungo..
Umeongea vizuri jirani........yaani kama ni swala la imani yako .....unatafuta kituo cha tv ama redio kinachorusha matangazo yanayohusiana na hiyo kitu yako........sasa nashangaa kuna baadhi yetu hapa ambao hawajaelewa ni kitu gani kibaya kinafanyika kwa kurusha matangazo yenye uhusiano na imani fulani tu masaa yote.Kama redio mimi nimasikiliza Wapo Radio. Tv sina!
Hata me nimeshaanza kuona kuwa kuna akili ndogo inapelekesha akili kubwa .......na akiendelea kupelekeshwa vile ajue ipo siku atakuja kufanya vitu vya ajabu sana na ndio maana chanel inapwaya siku hizi.......watangazaji wazuri wanakimbia........maamuzi ya ajabu ajabu yanapitishwa........what a waste kwakweli.Shemegi yetu ni mzenji... Kwani hujui nguvu ya wabeijingi?