Hivi ni nani mwanzilishi wa gwaride?

Hivi ni nani mwanzilishi wa gwaride?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,495
Reaction score
29,283
Nimefuatilia nchi mbali mbali nikajaribu kuangalia majeshi yao wakati wa kifanya gwaride mbalimbali kutokana na shughuli husika nikafananisha na za hapa Tanzania nikagundua gwaride tunazofanya hapa hazina tofauti sana na za nchi za nje na kama tofauti ipo ni kidogo sana lakini mbinu inayotumika ni hiyo hiyo, nimejaribu kuuliza asili ya hizi gwaride ni wapi au nani au ni nchi gani ilianzisha nikupata majibu ya kuridhika.

Naomba kama kuna mwenye uelewa zaidi atujuze.
 
Du! umeongelea gwaride ukanikumbusha Enzi zangu napiga gwaride la Siku ya Uhuru, Muungano pale Uwanja wa Taifa Dar es salaam, nikiwa karefu kembambaa halafu nilikuwa ndio "right marker" wa guard ya JKT wasichana. Ilikuwa nikipigia goose match utapenda mguuu huoooo! ahsante JKT kwa mujibu wa sheria
 
Dada jina lako lina maana gani?
 
Du! umeongelea gwaride ukanikumbusha Enzi zangu napiga gwaride la Siku ya Uhuru, Muungano pale Uwanja wa Taifa Dar es salaam, nikiwa karefu kembambaa halafu nilikuwa ndio "right marker" wa guard ya JKT wasichana. Ilikuwa nikipigia goose match utapenda mguuu huoooo! ahsante JKT kwa mujibu wa sheria
Hahaaa mkuu umenikumbusha kuna siku nilikuwa right marker alafu gard namba moja nikabugi step dadaaeki nilinyakuliwa nama m.p nilichezea virungu mbaya hadi wakanihamisha section[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mie pia siku hiyo nikiwa right marker tunafanya mazoezi pale uwanja wa Mgulani, si nikakosea yaani RSM alikuja akanichoma na kirungu tumboni hadi nilijisikia kupata haja kubwa ghafla, hahaahahahhaahhahhahahahah JKT full maraha kwa kweli!
 
Hamna kitu kinachouma kama uko kwenye gwaride alafu mda wa kula umefika na chungulia pipa lishapigwa (bigula) alafu gwaride unaanmbiwa bado round tatu nabwakati huo huo unanjaa,,asee wee acha tuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hahaaa mkuu umenikumbusha kuna siku nilikuwa right marker alafu gard namba moja nikabugi step dadaaeki nilinyakuliwa nama m.p nilichezea virungu mbaya hadi wakanihamisha section[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Badala ya kujibu swali mnabaki kujisifu Mara ooh nilikuw left marker !!! cjui nn?!!! kwan nan hajapiga pared?
 
Hamna kitu kinachouma kama uko kwenye gwaride alafu mda wa kula umefika na chungulia pipa lishapigwa (bigula) alafu gwaride unaanmbiwa bado round tatu nabwakati huo huo unanjaa,,asee wee acha tuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Au wanasema kuanzia hapa mkale, mliobaki kuliaaaa geuka, silaha begani weeeka, tunaendelea halafu wewe umebaki kwenye wale wanaoendelea na parade, hahahaha
 
Back
Top Bottom