mmmmmm! umechukia! mbona kawaida tu kunogesha uzi! usiwe unachukia vitu vidogo vidogo utautesa moyo wako bureBadala ya kujibu swali mnabaki kujisifu Mara ooh nilikuw left marker !!! cjui nn?!!! kwan nan hajapiga pared?
mmmmmm! umechukia! mbona kawaida tu kunogesha uzi! usiwe unachukia vitu vidogo vidogo utautesa moyo wako bureBadala ya kujibu swali mnabaki kujisifu Mara ooh nilikuw left marker !!! cjui nn?!!! kwan nan hajapiga pared?
Binti gwaride la mwaka gani? I don't expect kama we mkubwa hivyoDu! umeongelea gwaride ukanikumbusha Enzi zangu napiga gwaride la Siku ya Uhuru, Muungano pale Uwanja wa Taifa Dar es salaam, nikiwa karefu kembambaa halafu nilikuwa ndio "right marker" wa guard ya JKT wasichana. Ilikuwa nikipigia goose match utapenda mguuu huoooo! ahsante JKT kwa mujibu wa sheria
Kwani magwaride hayopo siku hizi Daby?Binti gwaride la mwaka gani? I don't expect kama we mkubwa hivyo
Nayajua hata!!! Ila nipo interested na ukongwe wako...maana watu waliosoma kuanzia kama sikosei 94 mjibu wa sheria hawakuwepo...wakaanza tena 2013 March. Sasa means utakuwa mtu wa 1964 kurudi nyuma. ShikamooKwani magwaride hayopo siku hizi Daby?
heeeeeee! 1964 hata mama yangu alikuwa bado bado hajazaliwa tehe tehe tehe anyway marahabaNayajua hata!!! Ila nipo interested na ukongwe wako...maana watu waliosoma kuanzia kama sikosei 94 mjibu wa sheria hawakuwepo...wakaanza tena 2013 March. Sasa means utakuwa mtu wa 1964 kurudi nyuma. Shikamoo
Hapahapa Tanzania mkuuUlifundishiwa wapi mkuu
Kaah..nirudishie marahaba yangu pm haraka...fasta kimbia kabla sijageukaheeeeeee! 1964 hata mama yangu alikuwa bado bado hajazaliwa tehe tehe tehe anyway marahaba
Muungano OP 833KJMkuu wee umepiga
***** hapo ndo unajuta hiyo inaitwa kukata kibangala baba wee acha tuu utajuta au mnaaenda kwa gwaride hadi mess alafu unasikia sauti kwabwa aaaaaaa mmeharibu geukeni nyuma eti mkaanze tena dadeeki unatamani na huo msosi usiule,,Au wanasema kuanzia hapa mkale, mliobaki kuliaaaa geuka, silaha begani weeeka, tunaendelea halafu wewe umebaki kwenye wale wanaoendelea na parade, hahahaha
Kitambo mbona ana nyonyo na kipochi manyoyaHee[emoji87] [emoji87] chirika kumbe mwanamke,,
Kulingana na hii comment yako inaonekana Uliwahi kushiriki gwaride bila shaka kwnye vikosi vya ulinzi, huko kote hukuwahi kuuliza muanzilishi wa grwaride uje uliize JF, halafu comment ya mtu inakukumbusha ulivyopigwa na M.P.Hahaaa mkuu umenikumbusha kuna siku nilikuwa right marker alafu gard namba moja nikabugi step dadaaeki nilinyakuliwa nama m.p nilichezea virungu mbaya hadi wakanihamisha section[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Haaaaa baba vipi embakasy na dunia umeyaonaje yale mashamba na kule duka lambao na je,,kule mzabibuni bado wanapanda zabibu? Je pale kwa mzee lyaseko zizini ulifanikiwa kujificha hapo kipindi unadoji? Au kule nadosoito ulifanikiwa kufika,,na mirongo ulienda[emoji3] [emoji3] [emoji3] vipi mkuu m.p eliud bado yuko paleMuungano OP 833KJ