Hivi ni mimi tu ambae sizikubali condom?

Hivi ni mimi tu ambae sizikubali condom?

Sipendi hata kuisikia condoms tukiwa faragha, huwa nakuwa huru kupima kuliko kutumia condoms kwenye show.

Naweza nikapiga show dakika 90 bila kutoa wachina nje nikiwa nimevaa ndom, sipendi kabisa hii kitu!
 
Binafsi condom sizikubali sana na Mood ya game huwa inakata kama demu ataning'ang'aniza nitumie hiyo kitu. Kiufupi me so mtumiaji wa hayo madude, Ni mimi tu ambae sizikubali au wwngine mpo??
Duh tupo wengi, mi nikivaa tu madhine inasinzia ndani ya dk 1 haisimami hadi nioshe na sabuni
 
Binafsi condom sizikubali sana na Mood ya game huwa inakata kama demu ataning'ang'aniza nitumie hiyo kitu. Kiufupi me so mtumiaji wa hayo madude, Ni mimi tu ambae sizikubali au wwngine mpo??
Hauko peke yako mkuu,ndio maana maambukizi mapya, yatokanayo na wasiojua afya zao... yanaendelea kuwepo.
 
N kwel wengi hatuzipendelei ila ili kuepukana sasa na matumiz ya ARV inabid kila mechi upime ili uwe huru zaidi.. Na c unajua ckuhz kuna hadi homa ya Ini
 
Duh tupo wengi, mi nikivaa tu madhine inasinzia ndani ya dk 1 haisimami hadi nioshe na sabuni
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mi mwenyewe siku hizi imeanza kuniletea hii kitu. Nikivaa tu mzee analala hasa la 2. Zamani ilikiwa poa now ni shida tu stimu zinakata mazima yaani. Ila nikiweka kavu daa full mlingoti usiku mzima. Sema ndo Hatari lakini tamu
 
mi kavu kavu siendi bila sababu..

labda kama nataka kuzaa na wewe na nijue ni mzm.. nakupima hata kwa ujanja ujanja tu... ila nile kavu eti kisa nina nyegeeez ... hapana kwa kweli..

mimi napenda sana bia.. sasa nawaza nipate umeme nianze kunywa Arv na masharti niache bia.. hapana kwa kweli
Mkuu una mbinu Kama zangu.
Mimi Hadi mwanamke nimuamini Basi ujue nimemfanyia uchunguzi wa kina sana Kama hatujaenda kupima hospitali Basi nitatumia mbinu za kisaikolojia.
Lakini siwezi kukurupuka mwanamke ambaye hatujuani nimpige kavukavu.
 
Binafsi condom sizikubali sana na Mood ya game huwa inakata kama demu ataning'ang'aniza nitumie hiyo kitu. Kiufupi me so mtumiaji wa hayo madude, Ni mimi tu ambae sizikubali au wwngine mpo??

Aisee!

Maajabu ya mwaka haya!
 
Kondom ni kwa ajili ya washenzi wa tabia... Wasioridhika na mmoja na wasio waaminifu kwenye mahusiano yao
Mkuu Mshana unamaanisha ukiwa na mpenzi mmoja ndio hawezi kukuambukiza ukimwi?au ndio kigezo Cha kutopata ukimwi?
 
mimi nimeshauguza mgonjwa wa ukimwi ambaye ni dada yangu.. naona mateso anayopitia na hizo ARV.. so nauogopa sana ukimwi.. nimeshawai igiza naumwa tumbo ili nisile mzigo wa demu flani hivi.. nilimchukua hostel udsm usiku kufika kwangu maduka yamefungwa na condom sina geto.. ikabidi nizuge naumwa tumbo ghafla tukalala bila kula mzigo.. nikaja kuula kesho yake baada ya kununua zana kulipokucha...

nyege za kitoto siziendekezi.. maisha matamu sana haya

Back
Top Bottom