Hivi ni mimi tu ambae sizikubali condom?

mimi nimeshauguza mgonjwa wa ukimwi ambaye ni dada yangu.. naona mateso anayopitia na hizo ARV.. so nauogopa sana ukimwi.. nimeshawai igiza naumwa tumbo ili nisile mzigo wa demu flani hivi.. nilimchukua hostel udsm usiku kufika kwangu maduka yamefungwa na condom sina geto.. ikabidi nizuge naumwa tumbo ghafla tukalala bila kula mzigo.. nikaja kuula kesho yake baada ya kununua zana kulipokucha...

nyege za kitoto siziendekezi.. maisha matamu sana haya
Natamani niwe na msimamo kama wako nisiendekeze nyege
 
mimi nimeshauguza mgonjwa wa ukimwi ambaye ni dada yangu.. naona mateso anayopitia na hizo ARV.. so nauogopa sana ukimwi.. nimeshawai igiza naumwa tumbo ili nisile mzigo wa demu flani hivi.. nilimchukua hostel udsm usiku kufika kwangu maduka yamefungwa na condom sina geto.. ikabidi nizuge naumwa tumbo ghafla tukalala bila kula mzigo.. nikaja kuula kesho yake baada ya kununua zana kulipokucha...

nyege za kitoto siziendekezi.. maisha matamu sana haya
mkuu kweli ulikaza ulilala na mzigo hadi kuna kucha hukuugusa.
 
mara kibao tu.. labda kama hupatagi mzigo una njaa kali.... hata demu wako anaweza kuja kwako na kukaa wiki nzima.. sio kila siku unakula mzigo..

mara kibao tu mchuchu anakuja gheto na mzigo sili.. unakuta huna condom au umechoka tu.. pia hata huyo niliyelala nae bila kumgusa sikuwa na wasi nilijua kesho yupo na kesho kutwa yupo.. ni kama wife tu, papara za nini
 
Back
Top Bottom