Hahahaha!!! Itakua vibe kama loteVibe aina gani, kuna vibe kadha wa kadha.
usiamini sana video za mitandaoni especial asia country's waongo waongo wanaweka chini currents za kweli wanafunika and then juu juu ndio wanakuzuga wao wanaenjoy sana waambie wazigeuze hiyo ndizi au wainyanyue na kuigeuza fix sana hao... umeme unaweza patikana lakini sio kwa kiwango kikubwa kihivyo acid kwenye ndizi ni kidogo sana kuzalisha umemeKatika pitapita zangu leo mitandaoni nimekuatana na hii video ikionesha kwamba ndizi mbivu zina current/umeme.
Kwamba zinaweza kuwasha bulb ndogo japo sijui ni ya watt ngapi na zinaweza kuchaji simu pia. Wale wajuzi wa mambo ya electricity kuna ukweli wowote hapa?
Yani form 3 tumesoma mwaka 1990 mpk leo tukumbuke vitu vinavyotoa umeme kweli? Vitu vingine huwa vinakaa kweny short term memories mkuu.WATU MNAKIMBIA KUSOMA CHEMISTRY NA PHYSICS THEN UNASHANGAA KITU GAN.
TOPIC ELECTROLYSIS FORM 2& 3 CHEMISTRY & PHYSICS
SIO NDIZI TU HADI
1. VIAZI
2. MACHUNGWA
3.LIMAO
....
ACHA UKILAZA!!!!!
Yani form 3 tumesoma mwaka 1990 mpk leo tukumbuke vitu vinavyotoa umeme kweli? Vitu vingine huwa vinakaa kweny short term memories mkuu.
WeweeeeVibe la umeme,.
😊😊😊Weweeee
Vrou van samaria give me bit of water to drink
Ndizi mbivu zina sukari mkuu sio umeme
Hata hujaelewa maana ya bandiko unakimbia kuweka komenti ili uwe wa kwanza.Ndizi mbivu zina sukari mkuu sio umeme