Hivi ni Kweli Ndizi Mbivu Zina Umeme?

inamaana Bukoba na Tukuyu tunaweza wekeza anzisha station ya kufua umeme kwa kutumia ndizi eti? afu stg georg tukaachana nayo!
 
Katika pitapita zangu leo mitandaoni nimekuatana na hii video ikionesha kwamba ndizi mbivu zina current/umeme.

Kwamba zinaweza kuwasha bulb ndogo japo sijui ni ya watt ngapi na zinaweza kuchaji simu pia. Wale wajuzi wa mambo ya electricity kuna ukweli wowote hapa?
usiamini sana video za mitandaoni especial asia country's waongo waongo wanaweka chini currents za kweli wanafunika and then juu juu ndio wanakuzuga wao wanaenjoy sana waambie wazigeuze hiyo ndizi au wainyanyue na kuigeuza fix sana hao... umeme unaweza patikana lakini sio kwa kiwango kikubwa kihivyo acid kwenye ndizi ni kidogo sana kuzalisha umeme
 
WATU MNAKIMBIA KUSOMA CHEMISTRY NA PHYSICS THEN UNASHANGAA KITU GAN.
TOPIC ELECTROLYSIS FORM 2& 3 CHEMISTRY & PHYSICS
SIO NDIZI TU HADI
1. VIAZI
2. MACHUNGWA
3.LIMAO
....
ACHA UKILAZA!!!!!
Yani form 3 tumesoma mwaka 1990 mpk leo tukumbuke vitu vinavyotoa umeme kweli? Vitu vingine huwa vinakaa kweny short term memories mkuu.
 
Sio kusoma mlipaswa kufanya practical zake. Ni very simple mbona
1. Misumari 2- Anode & Cathode
2 . Ndizi, limao, machungwa, ndizi, - electrolyte
3. Waya
4. Balbu ndogo
Hizo Wanafundishwa Std 4 primary- Ulaya
Ni kitu cha kawaida sana mbona???
 
Back
Top Bottom