Hivi ni kweli mtu ku 'fall in love' au kuwa 'deep love' nyakati hizi kumesha pitwa na muda?

Kumpenda na kumpa peace of mind mwanamke wa kibongo ni sawa na kumpa madaraka kichaa, ipo siku atafanya usiyoyatarjia 😂😂😂
 
I once thought like that until when I met my soulmate.
kama umekuwa ukikutana na wabomoa mioyo kweli hutakaa uamini kwenye mapenzi ya kweli na ya kufol dipu.
Ninaamini yapo mapenzi ambapo mtu anajikuta amekufa ameoza hana pa kutokea.
Shida ni hapo anapokufa na kuoza ndio mwanamke nae anapoanza vimbwanga, usumbufu hauishi kwenye simu. Yani unashangaa mtu mliekubaliana upendo mwanzoni amejisahau kabisa drama kibao tena kidume unaeza onekana mlalamishi kumbe lidemu limeshaanzisha affair kwa siri!

Dawa yenu kuwapa kubwa tu!
 
Kuna kanamke kamoja nilikapendaa nkachanganyikiwa nilikuwa mbwa mkubwa mjinga mimi kalichagua kwenye upande mmoja wa ukuta wa moyo ulodhaifu kakaupomoa moyo ukamwagika mwaaa sema ilikuwa kwenye foolish age ingekuwa now ningekachakata makofi
 
Si kweli kabisa.
😃😃kuna mtu moyo wangu ulimdondokea nyang’anyang’a mda mwingi Namuwaza yeye tu🤪🤪mjinga yule kumbe yeye anapenda bangi nakuwaza kubet nilikuwa sijui aise😆😆😆😆
😂😂😂😂Pole😂 lakini hivyo vyote ungemkomalia akaacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…