Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,550
- 6,108
Si kweli kabisa.
kuna mtu moyo wangu ulimdondokea nyang’anyang’a mda mwingi Namuwaza yeye tumjinga yule kumbe yeye anapenda bangi nakuwaza kubet nilikuwa sijui aise
Sasa sibora ungeniambia, kuliko kuja kunisemea humu ndani...Si kweli kabisa.
kuna mtu moyo wangu ulimdondokea nyang’anyang’a mda mwingi Namuwaza yeye tumjinga yule kumbe yeye anapenda bangi nakuwaza kubet nilikuwa sijui aise
Mkuu, ebu acha kupotosha.kwa wanawake wa siku hizi kufall in deep love, ni kujisokomeza kwenye tanuli ambalo bado halijawashwa moto!
Cheka tu sisy hakuna namna
Kumbe ndo mana mnatutesa wanawake wengine ambao hatuna hatia kwa makosa ya hao wanawake wenu wasiowaaminifu😢😢😢😌😌😌msitufanyie hivyo mnatutesa sana.mwanamke akionyesha kukupenda mpende na wewe.kuliko kutuhukumu kwa makosa ya wanawake wengine.😭😭😭😭kwa wanawake wa siku hizi kufall in deep love, ni kujisokomeza kwenye tanuli ambalo bado halijawashwa moto!
Ohooo kumbe na wew uko huku jeiefu😢😢nilikuwa sijui..naomba unisamehe nimekosa.Sasa sibora ungeniambia, kuliko kuja kunisemea humu ndani...
Pole best, imebidi tu nicheke mamii maana hivyo ulivyomuelezea khaaaCheka tu sisy hakuna namna
Mimi naona kama vile kuna kaukweli furani hivi mkuu maana siku hizi naona malalamiko yamekuwa mengi mnooSi kweli
Unampenda ivo ivo na kuanza mikakati ya kumbadilisha,ukitaka fresh uzae wako ila vjana tumevurugwa na maisha lazma tuwe na plan BSi kweli kabisa.
😃😃kuna mtu moyo wangu ulimdondokea nyang’anyang’a mda mwingi Namuwaza yeye tu🤪🤪mjinga yule kumbe yeye anapenda bangi nakuwaza kubet nilikuwa sijui aise😆😆😆😆
Mi napenda bhangi nakubet imenigusa.Si kweli kabisa.
😃😃kuna mtu moyo wangu ulimdondokea nyang’anyang’a mda mwingi Namuwaza yeye tu🤪🤪mjinga yule kumbe yeye anapenda bangi nakuwaza kubet nilikuwa sijui aise😆😆😆😆
😅😅 tunachangamsha genge mamaaPole best, imebidi tu nicheke mamii maana hivyo ulivyomuelezea khaaa
nimeshamzaa mkuu namsubiria akue nianze kunifanyia matumizi🥂Unampenda ivo ivo na kuanza mikakati ya kumbadilisha,ukitaka fresh uzae wako ila vjana tumevurugwa na maisha lazma tuwe na plan B
😅😅pole sana baba..Mi napenda bhangi nakubet imenigusa.
Tuyajenge hivohivo kibangebange mama.😅😅pole sana baba..
Umechukua uamuzi gani??