Hivi ni kweli Msanii Darasa anakula unga?

Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
16,374
Points
2,000
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
16,374 2,000
Wewe unashangaa Darasa kula unga. Kwa nini usishangae Mwenyekiti wa Yanga na diwani wa Mbagala Yusuf Manji akila Unga
Akili za kijinga sana hizi... Unamfananisha Manji na Darasa????

Manji anakula unga grade 1 na balance diet, haumizi kichwa kwa stress za maisha.....

Akiamua kwenda kubadilisha damu ni dakika kumi tu anakwea pipa tofauti na huyo kijana wako, anaekula uga grade ya mwisho ule uchafu.....
 
P

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
8,429
Points
2,000
P

PAGAN

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
8,429 2,000
Akili za kijinga sana hizi... Unamfananisha Manji na Darasa????

Manji anakula unga grade 1 na balance diet, haumizi kichwa kwa stress za maisha.....

Akiamua kwenda kubadilisha damu ni dakika kumi tu anakwea pipa tofauti na huyo kijana wako, anaekula uga grade ya mwisho ule uchafu.....

Drugs ni drugs tu, haina grade one au grade ten. Au nani kakwambia balance diet inasaidia katika kuathirika na dawa za kulevya? Ingekuwa kama unavyofiria wewe basi tusingeona wakina Amy Winehouse wanakula. Maana wanakufa huku wanaacha mamilioni benki
 
The genius62

The genius62

Senior Member
Joined
May 1, 2017
Messages
171
Points
250
The genius62

The genius62

Senior Member
Joined May 1, 2017
171 250
Duhh kuwa star yahtaji ujasirii... mi nakula unga ata watu hawasemi,,,
 
data

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Messages
19,588
Points
2,000
data

data

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2011
19,588 2,000
Akili za kijinga sana hizi... Unamfananisha Manji na Darasa????

Manji anakula unga grade 1 na balance diet, haumizi kichwa kwa stress za maisha.....

Akiamua kwenda kubadilisha damu ni dakika kumi tu anakwea pipa tofauti na huyo kijana wako, anaekula uga grade ya mwisho ule uchafu.....
Wewe inabidi ukaisaidie police....
 
Victor wa happy

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Messages
11,293
Points
2,000
Victor wa happy

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2013
11,293 2,000
Noma sana naona unakimbilia kwa watetezi wako mke wa darasa
Uyu alizoea Facebook atalambwa ban ad heshima irud

Jinga sana uyu bwana tabia za kinyerez anazileta jamii forum

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
B

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Messages
2,670
Points
2,000
B

bestmale

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2015
2,670 2,000
Anapenda sanaaa ugali dagaaa na kachumbali...unga wa sembe
 
C

code4494

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Messages
251
Points
250
C

code4494

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2014
251 250
Akili za kijinga sana hizi... Unamfananisha Manji na Darasa????

Manji anakula unga grade 1 na balance diet, haumizi kichwa kwa stress za maisha.....

Akiamua kwenda kubadilisha damu ni dakika kumi tu anakwea pipa tofauti na huyo kijana wako, anaekula uga grade ya mwisho ule uchafu.....
Ndo mnavyojidanganya baada ya kubwia ee!
 
Marcel Nkarangu

Marcel Nkarangu

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
320
Points
225
Marcel Nkarangu

Marcel Nkarangu

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
320 225
Mtaani kuna habari zinasambaa kwa kasi kuwa msanii wa hit song ya muziki, Msanii Darasa anakula unga. Juzi kati nikafanikiwa kumuona kwenye Clouds Tv kwenye show ya jiwe la mwezi pale Morogoro jamaa amepungua sana halafu muda wote alikuwa ana wenge sana.
Je tetesi hizi zina ukweli kiasi gani?
Tusiish kwa maneno ya maono . How sure you are , Give us evidences tukuelewe . Kwanza upo Moro ...Hzo story za kujifurahishaa tu mtaan
 
DUBULIHASA

DUBULIHASA

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2016
Messages
1,860
Points
2,000
DUBULIHASA

DUBULIHASA

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2016
1,860 2,000
Haaaa ina maana darasa ni jina la mtu?
 
zombi

zombi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2008
Messages
1,311
Points
2,000
zombi

zombi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2008
1,311 2,000
Hata Nanii mkubwa anakula unga tu,alifukuza wapishi wote WA baga
 
Linko

Linko

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
1,503
Points
2,000
Linko

Linko

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
1,503 2,000
mi mwenyewe nakula unga ila wa dona tu sembe situmi
 
Tz boy 4tino

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Messages
644
Points
1,000
Tz boy 4tino

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2014
644 1,000
Vijana wengi wa Gomz wanakula unga wakiongozwa na yeye ndo maana kapotea kwenye Raman hivi sasa
 
Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,436
Top