Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Kuna wanaume wanapenda kujisikia sana na wana dharau kisa wana hela na wazuri the same applied to girls......maybe your friends wana pride because they do believe kwa jinsi walivo basi lazima wasichana watawalilia na kuwabembeleza kuwa nao!!! Hapo ndo wanapokosea inabidi wawe kawaida na waoneshe mapenzi ya dhati sometimes sisi wadada tunahitaji care(sio lazima iwe pesa) hata muda wa kukaa na mtu wako mkaongea na kucheka(not sex) ila wengine hawana hichi kituMhhh point ya ubuzy inaweza kuwa point kwa mahusiano ambayo hayadumu ila kwa kukataliwa kabla je?
Mtu hajawai kuliliwa na mwanamke???