Hivi ni kweli dawa ya kuongeza uume ipo?

Idrissou02

JF-Expert Member
Jul 31, 2018
354
644
Nlikua nacheki kipindi kimoja apa kwenye televisheni, daktari mmoja wa uingereza alikua anaeleza kuwa bado mpk sasa wanasayansi hawajaweza kuja na dawa ya kuongeza ukubwa wa dushelele.

Ila uku kwetu bongo naona matangazo kibao ya uwepo wa dawa izo. Ivi ni kweli zipo? Kama zipo naombeni muongozo mi mwenyewe nahitaji😁
 
Hii apa
Duka lipo kijichi
100k
0718909429
 

Attachments

  • 255684047777_status_c800cd9036f64cecbc1f14cf557069d6.jpg
    255684047777_status_c800cd9036f64cecbc1f14cf557069d6.jpg
    43 KB · Views: 131
  • 255684047777_status_c047a89ee5d0428f9c0e3ba6db828341.jpg
    255684047777_status_c047a89ee5d0428f9c0e3ba6db828341.jpg
    87 KB · Views: 139
Ukitaka kujua kama hiyo dawa inafanya kazi kweli ipake kwenye kidole chako kidogo cha mkono. Kikirefuka kikalingana na kidole cha kati au kikawa kinene kama dole gumba hapo umepata. Kinyume na hapo mjomba umeliwa.

Sm 2 tu, unanisaidiaje?
 
Back
Top Bottom