• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Matangazo ya dawa za nguvu za kiume, kuongeza uume yalivyoshamiri!

mr vata

mr vata

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2017
Messages
361
Points
500
mr vata

mr vata

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2017
361 500
Wakuu,

Hili suala linatafakarisha sana. Ni kweli Watanzania (wanaume) tuna matatizo ya nguvu za kiume kwa kiwango hiki cha wingi wa matangazo ya dawa?

Na ni kweli tuna size ndogo za uume kiasi hicho? Maana ukiangalia wingi wa matangazo inaonyesha tatizo ni kubwa sana. Sasa nini chanzo cha hili tatizo? Na nini maoni yako kwa katika hili?

Je, wanawake wao sio chanzo cha hili tatizo kwa wanaume? Maana nijuavyo mimi ukubwa au ukubwa wa mguu unategemea na kiatu unachokivaa.

Nini maoni yako?
Tiririka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
134,025
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
134,025 2,000
Hili sio janga la Tanzania wala Afrika ni janga la dunia nzima.. Tena huku kwetu bado tuna nafuu sana.... Ulaya ndio wanaume wameharibika kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alvin A.

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Messages
2,693
Points
2,000
Alvin A.

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2016
2,693 2,000
nasikia ss hivi una ALIKASUSU :D:D:D
 
matunduizi

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
2,431
Points
2,000
matunduizi

matunduizi

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
2,431 2,000
wakimaliza wataanza ya nguvu za kike. maana zinasahaulika san
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
11,331
Points
2,000
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
11,331 2,000
... majizi tu hao; tungekuwa na hayo matatizo tusingeongezeka kama utitiri! Wakati nchi inapata uhuru tulikuwa around 10m; 60 years later tupo 60+ ukiacha maelfu kwa maelfu ya mimba zinazotupwa na vichanga vinavyokufa kila mwaka!
 

Forum statistics

Threads 1,402,695
Members 530,969
Posts 34,402,565
Top