Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,195
- 11,090
Makala nyingi huzungumzia kuwa ukomo wa ongezeko la uume ni baada ya kipindi kizima cha upevukaji wa mwanaume kutimia
Wataalamu wamekazia kwa kusema, ukubwa wa uume atakaokuwa nao mwanaume baada ya kufikisha miaka 20 ndio huo huo atakaokua nao, na hakuna namna anaweza fanya maboresho ili kuuongeza, wameongelea zaidi kuwa ukubwa wa uume unatokana na vinasaba (genes) anavyorithi mtu kutoka kwa mzazi
Kwa upande wangu mimi, urefu wa uume niliokuwa nao nikiwa na miaka 14 i.e (5.9 inch) ndio huo huo nilionao mpaka leo, kipindi hicho ulikuwa mwembamba, lakini nilipofikisha miaka 23, upana wa uume uliongezeka ghafla na kuufanya kuonekana mfupi na mnene
Hii imekaa vipi kitaalamu? Kama ni kweli kuwa ukubwa wa uume unagota mtu unapofikisha miaka 20
(a) Kwanini kipindi chote hicho cha kuanzia miaka 15 hadi 20 hakukuwepo ongezeko la uume wangu? Je, kuna namna naweza kuuambia mwili wangu ukanifidishia kipindi chote hicho ambacho ukuaji ulikuwa umezorota?
(b) Na kwanini ongezeko la ghafla la upana wa uume wangu lifanyike kinyume na muda uliopangwa kitaalamu wa "23 years"?
Sasa nina miaka 29, Je kuna uwezekano wa uume kuongezeka tena ukubwa? Au nihesabu maumivu?
(c) Weka experience yako i.e size ya uume wako ulivyokuwa teeneger, ililingana na size uliyokuwa nayo under 20+ yrs? Na ndiyo uliyokuwa nayo ukiwa under 30+?
(d) Na kama testesterone hormones zinachangia ongezeko la uume, artificial testesterone hormone injection kwa mtu mzima inaweza kuongeza ukubwa wa uume?
(e) Na vipi kuhusu haya madawa ya asili yanayotangazwa kwenye social media kuongeza ukubwa wa uume, yana connection ipi na misuli ya uume? Na kwanini yapingane na nature (genetics)?
Note: Sihusishwi na tatizo hili, ila nimelileta kwa ajili ya mjadala kama lilivyoulizwa na mfanyakazi mwenzangu
Summary,
Hivi inawezekana uume kuongezeka ukubwa baada ya kipindi cha balehe?