Hivi ni kweli bodi (HESLB) haina fedha?

Muhas, sfuchas, cuhas
Mm nilidhani ni sisi tunaoitwa vilaza pekee,kumbe mpaka kwa hao wenye akili pia wanasoma ,
Miss you ,J.M.K ,the presidaah.maana sasa hata kuandamana kuelekea bodi hakuna na hela pia hatupewi.
Watu tupo field with nothing in the pockets,sijui tuishije ugenini,ama kweli kuna watu makatili
 
1467377204301.jpg
leo. Bugando wambandika hii kitu

Kweli namba inasomeka ila one day yataisha japo kwa shida....
 
Huu ni u***** kwa kweli, sema tu naogopa kupelekwa kisutu, ila napata mashaka sana kama mkulu ataweza kuliokoa hili jahazi maana hawajatuma ada,tuition fee wala hela ya field.

Hela zote zimepelekwa kwenye Tanzania ya Viwanda.
 
Huu ni u***** kwa kweli, sema tu naogopa kupelekwa kisutu, ila napata mashaka sana kama mkulu ataweza kuliokoa hili jahazi maana hawajatuma ada,tuition fee wala hela ya field.
Pole Sana Dr. Usisome kwa hasira. Maana itakuwa hatari Sana baadae. Tuendelee kumuomba Mungu hizo fedha zitatoka tu. Chuoni kwetu Leo fedha zimetoka. Nafikiri hata nyie siku si nyingi watawapatia.
 
Chuo gani zimetoka.
 
Bodi wana fedha hawataki tuu kutumia, wataje amount inayorudishwa na wakopaji waliopita kila mwezi, utashangaa
 
sio board,kwa kifupi mifuko ya nchi imejaa manyigu tuu,we huoni kila kitu kinachohusu pesa kimesimama mfano ajira mpya,mikopo kwa wanafunzi,nyongeza za mishahara kwa waliopanda madaraja ktk taasisi za umma,michezo mashuleni(watu walipigwa stop wakiwa safarini) mpaka vijana waliotakiwa kujiunga na mafunzo ya kijeshi nao wameshachaguliwa ngazi ya mkoa ila hawajaenda nk,kwa hiyo me naona tukubali kuwa pesa ndo tatizo,hayo mengine ni propaganda tuu.ahaha,inawezekana kuna mtu alichota(nawaza tuu,sijasema).
 
Watumishi wa umma wenyewe tumepigishwa bench mwezi wa 4 sasa kwa kisingizio cha watumishi hewa, labda na huko vyuoni wanafanya upembuzi wa vil.aza na halali
 
Ingekua vizuri kama ungetaja hivyo vyuo ambavyo mpaka sasa wanafunzi wake hawajapata mkopo... huwezi jua labda wale mashushu wa Mheshimiwa wanaweza wakapitia humu na kufikisha taarifa yako kwake.. .
almost vyuo vyote wanafunz hawajapata pesa zao zotee kama
kama kuna chuo kimepata pesa zake zote apost ushahd mtuuuu umuuu
 
Hii imekuwa ni tofauti kama utaratibu unavyopasa. Kikawaida,wanufaika wote wa mikopo kutoka HESLB wamekuwa wakipewa fedha za kujikimu kila baada ya siku 60 yaani miezi miwili. Lakini mpaka sasa kuna vyuo ambavyo imeshapita mpaka miezi mitatu na huu tunaelekea wa 4 (yaani mwezi mmoja mbele zaidi ya kipindi kinachopaswa) hakuna fedha za kujikimu kwa wanufaika.

Kila jitihada zinapofanyika bodi wanadai fedha hakuna mpaka wazipate kutoka hazina. Sasa cha kujiuliza,je hazina haioni umuhimu wa kutoa hizi fedha? Je,ni kweli hazina haijatoa fedha au bodi ndo inazingua?

Hali imekuwa mbaya vyuoni. Hakuna pesa kwa ajili ya matumizi ya chakula. Mbaya zaidi kuna wengine wanategemea kutumia fedha hizo kwa ajili ya kulipia ada (sehemu iliyobaki). Mitihani inatarajia kuanza wiki ijayo na wale ambao hawajakamilisha malipo ya ada hawaruhusiwi kufanya mitihani.

Jamani,Hazina tunaomba roho ya huruma iwaingie. Hizi fedha hatuzipati kama msaada. Ni za kuzirudisha tena ikiwa na riba. Hii ni haki yetu ya Msingi kabisa.

Dada zetu huku chuoni wanaangamia. Hatujui kinachowaweka mjini kwa sasa. Hakika kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia ambacho siyo kwa matakwa yao Bali ni hali mbaya ya kiuchumi inayotokana na kuchelewa kwa fedha hizo.

Mh Rais uliahidi kwamba wanafunzi watapewa fedha zao kwa wakati. Hazina ipo chini yako na hakika kauli yako ndo itawalazimu kutoa hizo fedha. Tunakuomba Mkuu wetu utusaidie. Hali inasikitisha.

Hata kupiga msuli hauingii. Madude hayapandi kichwani kwa sababu tumboni kupo empty.[/COLOR=RED]

Nimeandika kwa rangi nyekundu maana hakika Uzi huu ni wa masikitiko.
[/QUOTE]
Salaam Wakuu,

Naona jamaa wamekanusha. Kuna statement kwenye facebook page yao...nimeibeba na kuiweka ...Inasema hivi:

KUKANUSHA TAARIFA KWAMBA BODI HAINA FEDHA

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kukanusha taarifa za upotoshaji zinazoenezwa kwa sasa kwamba haina fedha.

Si kweli kwamba Bodihaina fedha, ila ni kweli kwamba kumekuwa na ucheleweshaji wa kufikisha fedha za wanafunzi vyuoni kutokana na zoezi la kuhakiki wanafunzi wanaonufaika na mikopo linaloendelea vyuoni hivi sasa.

Hata hivyo, maandalizi ya malipo hayo yameshafanyika na ‘pay sheets’ zimeshapelekwa vyuoni tayari kwa wanafunzi wanaonufaika na mikopo kusaini.

Bodi inatarajia wakati wowote wiki ijayo baada ya zoezi la uhakiki kukamilika; itapeleka fedha hizo vyuoni.

IMETOLEWA NA:

KITENGO CHA HABARI, ELIMU NA MAWASILIANO

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

TAREHE 2 JULAI 2016
 
Back
Top Bottom