Hivi ni kweli BAKWATA ni chombo cha CCM?

James Martin

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
1,206
1,509
BAKWATA ni chombo cha CCM? Hili ni swali ninalojiuliza siku nyingi sana, nafikiri wengi wenu pia mnatafuta jibu. Mimi binafsi nikijaribu kuchunguza naona kama uhusiano wa serikali ya CCM na BAKWATA ni wa karibu kupita kiasi. Nakiri kwamba serikali ina uhusiano na taasisi za kidini lakini hii imezidi.

Hivi karibuni nimesikia sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam eti akikemea viongozi wa dini kuingilia siasa kisa eti inasemekana askofu Bagonza alimsifia Tundu Lissu.

Naomba rais ajaye aruhusu serikali izitambue taasisi nyingine za kiislam ili waislam wawe huru kuchagua ni chombo gani cha kuwawakilisha kama wakristo.
 
Ni tool nzuri ya kuwathibiti waislamu wasifurukute na hivyo kuupa nafasi mfumo Kristo usimike mizizi kisawasawa nchini. Ndiyo maana unaona waislamu wako underrepresented kwenye ajira/utumishi wa umma na teuzi katika kila idara ya serikali wakati population yao nchini ni kubwa sana.

Ili kuithibiti BAKWATA "System" husapoti Masheikh wenye makandokando binafsi maana ni rahisi kuwacontrol. Masheikh makini na wenye vision kamwe hawaprwi nafasi BAKWATA.

Kiufupi BAKWATA ni Chombo cha System ndiyo maana Sheikh Mkuu yupo kwenye payroll ya serikali na anapewa marupurupu mbalimbali utadhani ni mtumishi wa serikali kumbe la!, Sasa swali kwako kwa nini kiongozi wa dini alipwe na serikali inayosema haina dini?
 
Hahaha hiyo hiyo BAKWATA wangemkabidhi Sheikh Ponda waone ambavyo angewakimbiza ccm.

Wenyewe ccm wangeomba ifutwe.
 
FB_IMG_1601129635293.jpg
 
M
Ni tool nzuri ya kuwathibiti waislamu wasifurukute na hivyo kuupa nafasi mfumo Kristo usimike mizizi kisawasawa nchini. Ndiyo maana unaona waislamu wako underrepresented kwenye ajira/utumishi wa umma na teuzi katika kila idara ya serikali wakati population yao nchini ni kubwa sana.

Ili kuithibiti BAKWATA "System" husapoti Masheikh wenye makandokando binafsi maana ni rahisi kuwacontrol. Masheikh makini na wenye vision kamwe hawaprwi nafasi BAKWATA.

Kiufupi BAKWATA ni Chombo cha System ndiyo maana Sheikh Mkuu yupo kwenye payroll ya serikali na anapewa marupurupu mbalimbali utadhani ni mtumishi wa serikali kumbe la!, Sasa swali kwako kwa nini kiongozi wa dini alipwe na serikali inayosema haina dini?
Maajabu
 
Kama ni kweli analipwa na serikali basi kila kitu kipo wazi
 
BAKWATA ni chombo cha CCM? Hili ni swali ninalojiuliza siku nyingi sana, nafikiri wengi wenu pia mnatafuta jibu. Mimi binafsi nikijaribu kuchunguza naona kama uhusiano wa serikali ya CCM na BAKWATA ni wa karibu kupita kiasi. Nakiri kwamba serikali ina uhusiano na taasisi za kidini lakini hii imezidi.

Hivi karibuni nimesikia sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam eti akikemea viongozi wa dini kuingilia siasa kisa eti inasemekana askofu Bagonza alimsifia Tundu Lissu.

Naomba rais ajaye aruhusu serikali izitambue taasisi nyingine za kiislam ili waislam wawe huru kuchagua ni chombo gani cha kuwawakilisha kama wakristo.
Mimi ni muislamu pure
BAKWATA sio ipo karibu na CCM Bali BAKWATA ni Jumia moja wapo ya CCM kama vile UVCCM. UWT.JUMUIA YA WAZAZZI n.k
Sisi waislamu katiba yetu kuu ni Quran lakini BAKWATA wanayo katiba kama katiba ya CCM
inazungumzia Mtaa. Shina. Tawi. Wilaya n.k
BAKWATA ilianzishwa na mwalimu kudhibiti waislamu Mzee Mwinyi alivyo ingia madarakani akawaambia waislamu RUKSA kuanzisha taasis zingine za kiislamu Ndio tukapata taasis I zingine tangu wakati huo
Alivyo ingia magufuli amejitahidi kufunga na kutisha taasis zingine
Hivi tunavyo zungumza viongozi wa kiislamu wengi wapo jela kwa kukataa kutii BAKWATA
Awamu hii imekuja Kufuta mambo yalioanzishwa na mzee Mwinyi
Ndio maana miaka mitano hii waislamu hakuna maendeleo Tena
Magufuli huyu!!!!
We can't breathe
 
BAKWATA ni chombo cha CCM? Hili ni swali ninalojiuliza siku nyingi sana, nafikiri wengi wenu pia mnatafuta jibu. Mimi binafsi nikijaribu kuchunguza naona kama uhusiano wa serikali ya CCM na BAKWATA ni wa karibu kupita kiasi. Nakiri kwamba serikali ina uhusiano na taasisi za kidini lakini hii imezidi.

Hivi karibuni nimesikia sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam eti akikemea viongozi wa dini kuingilia siasa kisa eti inasemekana askofu Bagonza alimsifia Tundu Lissu.

Naomba rais ajaye aruhusu serikali izitambue taasisi nyingine za kiislam ili waislam wawe huru kuchagua ni chombo gani cha kuwawakilisha kama wakristo.
Sheikh Mkuu yuko kwenye payroll ya serikali
 
Soma:

Taarifa za Wazee zinaonyesha kwamba BAKWATA ilianzishwa na Nyerere akishirikiana na Paulo Bomani
 
Ni kosa kisheria kuanzisha taasisi nyingine ikasimamia maslai ya waislamu bila kuvunja sheria za nchi?
Kama siyo kosa why kulamikia bakwata ilhari inajulikana ni sehemu ya Chama tawala?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom