Hivi ni kwanini wasichana makini wanaringa?

Kwamba Hapo kabla ume date na TAKATAKA BOMBAY...
now ume zinduka??
 
Si hisabati tu, kama wa kwanza anachukua siku 28 kutoa jibu, basi kila baada ya siku tongoza mwingine, apo tunatafuta probality of event P(e}. Atakama watatoa ndio 1/4 tu, iyo ni sawa na 28/4=7, 28 wameji-shotlist adi wakabakia 7, sasa kama mwanaumr unahaki ya ku-shotlist ili wapungue, au uliamushe dude na timu yako mpya. 🀣

Mkutukubalia siku moja labda tutapunguza kasi ya kutongoza.

Imagine mwanamke mmoja unakomaaa nae mwaka mzima hajakupa jibu la kueleweka si anakupotezea muda, just probality na sample space kubwa! Chears! 😝 😝 😝 😝 😝
 
Hela. Ndugu Hela........akizingua ....vitobo vya haja vipo Vingi.....
 
The best fish swims near the bottom, it's difficult to get
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…